Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ROCK CITY MARATHON 2015 YAZINDULIWA, KUTIMUA VUMBI NOVEMBA 15

 Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi  (wa kwanza kushoto) akiwa kwenye hali ya furaha mara baada ya kuzindua msimu wa saba wa mbio za Rock City Marathon zinazotarajiwa kufanyika Novemba 15 mwaka huu katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Wengine ni pamoja na Meneja Mkuu wa kampuni ya Capital Plus International (CPI) ambao ndio warataibu wa mbio hizo Bw Erasto Kilawe (mwenye shati jeupe), Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Rock City Marathon 2015 yatikisa jiji la Mwanza

Mwenyekiti wa chama cha riadha mkoa wa Mwanza Silas Lucas akiwapa maelekezo wakimbiaji wa km 21 wakati wa mbio za Rock City Marathon kabla ya mbio kuanza kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana. Wanariadha katika kundi la km 21 wakikatiza katika mitaa ya jiji la Mwanza kuelekea katika viwanja vya CCM Kirumba kumaliza mbio  hizo. Festus Taram kutoka Kenya akimaliza katika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Rock City Marathon zilizofanyika jijini Mwanza jana baada ya kutumia muda wa saa...

 

9 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA USAJILI WA WASHIRIKI WA MBIO ZA ROCK CITY MARATHON 2015 WAFANYIKA JIJINI MWANZA.

Na:George Binagi-GB Pazzo
Hiyo ilikuwa katika Uzinduzi wa Usaili wa Washiriki wa mbio hizo za Rock City Marathon 2015 ambazo zilianza kufanyika Jijini Mwanza tangu mwaka 2009.
Mbio hizo (mashindano) huandaliwa na Kampuni ya Capital Plus International na kudhaminiwa na Makampuni mbalimbali ikiwemo Mdhamini Mkuu Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF, Precision Air, Bodi ya Utalii Tanzania, New Mwanza Hotel na Bank M huku lengo lake likiwa ni kukuza mchezo huo pamoja na kuhimiza utalii wa...

 

9 years ago

Michuzi

MBIO ZA RIADHA ZA MOUNT MERU MARATHON KUTIMUA VUMBI OCTOBA 4 ARUSHA

Na Woinde Shizza,ArushaBaada ya kutokuwepo kwa mbio za riadha zijulikanazo kama mount meru Marathon kwa miaka 15 sasa ,hatimaye wadau wa mchezo wamjitokeza na kurudisha mbio hizo ambazo zinatarajiwa kufanyika  octoba 4 jijini Arusha.Mbio hizo za km 21 zilifanyika mara ya mwisho mwaka 2000,ambapo hazikuendelea tena kutokana na kukosa wadhamini hali iliyopelekea kukosa hamasa kwa wanariadha  mabalimbali.
Katibu wa chama cha riadha mkoani hapa  Alfredo Shahanga alisema kwuwa mbio hizo ni za...

 

9 years ago

Habarileo

Malinzi azindua Rock City Marathon

MWENYEKITI wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi amezindua msimu wa saba wa mbio za Rock City Marathon zitakazofanyika Novemba 15, mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

 

9 years ago

TheCitizen

Kenyans rule supreme at Rock City Marathon

Festus Taram breezed past his exhausted opponents to jubilantly claim the first position in this year’s 21km Rock City Marathon whose podium finish was at Kirumba Stadium in Mwanza yesterday.

 

10 years ago

Michuzi

Malinzi azindua Rock City Marathon 2014

  Mratibu wa Rock City Marathon  kutoka kampuni ya Capital Plus International Ltd, Bi Grace Sanga (wa kwanza kulia) akipongezwa na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Bw. Dioniz Malinzi (Wa nne kulia) ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi  wa Rock City Marathon 2014, jana jijini Dar es Salaam jana. Mbio hizo zitafanyika tarehe 26 Oktoba katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Baadhi ya wawakilishi wa wadhamini wa mbio za Rock City Marathon 2014 pamoja na viongozi wa chama...

 

10 years ago

TheCitizen

Rock City Marathon 2014 set for launch

The official launch of the sixth edition of Rock City Marathon 2014 which began in 2009 with the aim of promoting domestic tourism through sports is scheduled for September 10 at the New Africa Hotel.

 

10 years ago

Daily News

Rock City marathon registration forms ready


Rock City marathon registration forms ready
Daily News
MWANZA City Mayor Stanslaus Mabula has become the first participant to register for the Rock City Marathon 2014 which will start and end at CCM Kirumba Stadium on October 26, this year. Launching the registration process in Mwanza, the mayor opted for ...

 

10 years ago

Michuzi

Rock City Marathon 2014 kuzinduliwa keshokutwa

UZINDUZI wa msimu wa sita wa mbio za Rock City Marathon 2014zilizoanza mwaka 2009, zikiwa na lengo la kukuza Utalii wa Ndani
kupitia michezo, unatarajia kufanyika Septemba 10, kwenye Hoteli ya
New Afrika, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa mbio hizo, Bi. Grace
Sanga, alisema kuwa baadhi ya wanariadha, viongozi wa vyama vya
riadha, viongozi wa Baraza la Michezo Tanzania na wadau mbali mbali wa
mchezo wa riadha nchini wanatarajiwa kuhudhuria uzinduzi huo.
Bi....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani