Rock City Marathon 2015 yatikisa jiji la Mwanza

Mwenyekiti wa chama cha riadha mkoa wa Mwanza Silas Lucas akiwapa maelekezo wakimbiaji wa km 21 wakati wa mbio za Rock City Marathon kabla ya mbio kuanza kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana.
Wanariadha katika kundi la km 21 wakikatiza katika mitaa ya jiji la Mwanza kuelekea katika viwanja vya CCM Kirumba kumaliza mbio hizo.
Festus Taram kutoka Kenya akimaliza katika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Rock City Marathon zilizofanyika jijini Mwanza jana baada ya kutumia muda wa saa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA USAJILI WA WASHIRIKI WA MBIO ZA ROCK CITY MARATHON 2015 WAFANYIKA JIJINI MWANZA.
Hiyo ilikuwa katika Uzinduzi wa Usaili wa Washiriki wa mbio hizo za Rock City Marathon 2015 ambazo zilianza kufanyika Jijini Mwanza tangu mwaka 2009.
Mbio hizo (mashindano) huandaliwa na Kampuni ya Capital Plus International na kudhaminiwa na Makampuni mbalimbali ikiwemo Mdhamini Mkuu Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF, Precision Air, Bodi ya Utalii Tanzania, New Mwanza Hotel na Bank M huku lengo lake likiwa ni kukuza mchezo huo pamoja na kuhimiza utalii wa...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA MWANZA KUSHIRIKI ROCK CITY MARATHON
10 years ago
MichuziROCK CITY MARATHON 2015 YAZINDULIWA, KUTIMUA VUMBI NOVEMBA 15
10 years ago
Habarileo30 Sep
Malinzi azindua Rock City Marathon
MWENYEKITI wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi amezindua msimu wa saba wa mbio za Rock City Marathon zitakazofanyika Novemba 15, mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
11 years ago
Michuzi
Malinzi azindua Rock City Marathon 2014


9 years ago
TheCitizen16 Nov
Kenyans rule supreme at Rock City Marathon
11 years ago
Daily News26 Sep
Rock City marathon registration forms ready
Daily News
MWANZA City Mayor Stanslaus Mabula has become the first participant to register for the Rock City Marathon 2014 which will start and end at CCM Kirumba Stadium on October 26, this year. Launching the registration process in Mwanza, the mayor opted for ...
11 years ago
TheCitizen27 Oct
ATHLETICS: TZ athletes shine at Rock City Marathon
11 years ago
TheCitizen08 Sep
Rock City Marathon 2014 set for launch