MKUU WA MKOA WA MWANZA KUSHIRIKI ROCK CITY MARATHON
Katibu wa idara ya utumishi wa waalimu mkoa wa Mwanza, Genzi Sahani (wa pili kushoto), akipokea fomu ya usajili kutoka kwa Katibu wa chama cha riadha Mwanza, Peter Mujaya (wa pili kulia), kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambaye jana alijisajili rasmi kushiriki katika mbio za kilomita tano katika mbio za Rock City Marathon zinazotarajia kufanyika tarehe 15 Novemba, 2015 katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Wanaoshuhudia ni Kaimu Afisa Michezo mkoa wa Mwanza, Kizito Bahati (kushoto)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziRock City Marathon 2015 yatikisa jiji la Mwanza
9 years ago
VijimamboUZINDUZI WA USAJILI WA WASHIRIKI WA MBIO ZA ROCK CITY MARATHON 2015 WAFANYIKA JIJINI MWANZA.
Hiyo ilikuwa katika Uzinduzi wa Usaili wa Washiriki wa mbio hizo za Rock City Marathon 2015 ambazo zilianza kufanyika Jijini Mwanza tangu mwaka 2009.
Mbio hizo (mashindano) huandaliwa na Kampuni ya Capital Plus International na kudhaminiwa na Makampuni mbalimbali ikiwemo Mdhamini Mkuu Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF, Precision Air, Bodi ya Utalii Tanzania, New Mwanza Hotel na Bank M huku lengo lake likiwa ni kukuza mchezo huo pamoja na kuhimiza utalii wa...
9 years ago
Habarileo30 Sep
Malinzi azindua Rock City Marathon
MWENYEKITI wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi amezindua msimu wa saba wa mbio za Rock City Marathon zitakazofanyika Novemba 15, mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
10 years ago
MichuziRock City Marathon 2014 kuzinduliwa keshokutwa
kupitia michezo, unatarajia kufanyika Septemba 10, kwenye Hoteli ya
New Afrika, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa mbio hizo, Bi. Grace
Sanga, alisema kuwa baadhi ya wanariadha, viongozi wa vyama vya
riadha, viongozi wa Baraza la Michezo Tanzania na wadau mbali mbali wa
mchezo wa riadha nchini wanatarajiwa kuhudhuria uzinduzi huo.
Bi....
10 years ago
Daily News26 Sep
Rock City marathon registration forms ready
Rock City marathon registration forms ready
Daily News
MWANZA City Mayor Stanslaus Mabula has become the first participant to register for the Rock City Marathon 2014 which will start and end at CCM Kirumba Stadium on October 26, this year. Launching the registration process in Mwanza, the mayor opted for ...
10 years ago
MichuziMalinzi azindua Rock City Marathon 2014
9 years ago
TheCitizen16 Nov
Kenyans rule supreme at Rock City Marathon
10 years ago
TheCitizen27 Oct
ATHLETICS: TZ athletes shine at Rock City Marathon
10 years ago
TheCitizen08 Sep
Rock City Marathon 2014 set for launch