MKURUGENZI MTENDAJI WA TBL AENDESHA MHADHARA CHUO KIKUU CHA STEFANO MOSHI

Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu wa Chuo Kikuu cha Stefano Moshi (SMMUCO),Tawi la Moshi Mjini wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na SABMiller East Africa, Roberto Jarrin alipokuwa akitoa mhadhara wa masuala ya biashara na masoko chuoni hapo, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na SABMiller East Africa, Roberto Jarrin (kushoto) akibadilishana mawazo na Afisa Mipango wa Chuo Kikuu cha Stefano...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Mar
Chuo Kikuu cha Stefano Moshi chakabidhiwa majengo
CHUO Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) cha mkoani Kilimanjaro, kimekabidhiwa majengo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa mkataba wa miaka mitano, lengo likiwa ni kuboresha maendeleo ya elimu nchini.
10 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU MPYA WA TBL AKAGUA MAJENGO WALIYOYAKABIDHI KWA CHUO KIKUU CHA STEPHANO MOSHI
11 years ago
GPL
CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI
11 years ago
MichuziTBL YAFANIKISHA UPANDANJI MITI 1250 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU ARUSHA
11 years ago
GPLTBL YAFANIKISHA UPANDANJI MITI 1250 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU ARUSHA
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) chafanya mahafali ya kwanza







11 years ago
Habarileo09 Apr
TBL wapanda miti 1,250 Chuo Kikuu Mount Meru
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mkoa wa Arusha, wamepanda miti 1,250 katika eneo la Chuo Kikuu cha Mount Meru (MMU) ikiwa ni sehemu ya utunzaji wa mazingira mkoani humo.
5 years ago
Michuzi