RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-PQTcCLNkL9s/VM8sTg_-pxI/AAAAAAACzHQ/TgZ_JWikUmM/s72-c/1.jpg)
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto) akiongozana na jaji mkuu wa Tanzania, Mohamed Othaman Chande (watatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (wa kwanza kushoto), Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Ally LILA wakiwa katika matembezi ya kuadhimisha wiki ya sheria nchini matembezi hayo yalianzia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuishia katika viwanja vya mnazi mmoja jijini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti
10 years ago
VijimamboRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI.
11 years ago
GPLRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6DJu-ZY1SsM/VBmNnKlpX_I/AAAAAAAGkF8/YyvwAB5Ha04/s72-c/unnamed%2B(57).jpg)
Rais Wa awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi Mkutano wa 22 wa AQRB
Rais mstaafu wa Awamu ya pili wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa 22 wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) utakaofanyika Septemba 18 2014.
Msajili wa Bodi ya AQRB Bwana Jehad Abdalah Jehad amesema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Bwana Jehad alisema kuwa lengo kuu la mkutano huo ni kuendeleza wataaluma wa fani ya...
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi azindua msikiti wa Masjidil Huda Chamazi Mbagala Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokelewa na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa Makampuni ya SSB, Said Salim Bakhresa, wakati alipowasili Msikiti wa ‘Masjidil Huda’ uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa msikiti huo uliofanyika jana Julai 4, 2014.(Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wenyeji wake wakati alipowasili Msikiti wa ‘Masjidil Huda’...
11 years ago
Michuzi04 Jul
RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MSIKITI WA MASJIDIL HUDA CHAMAZI MBAGALA JIJINI DAR LEO
![001](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/eBvSwAFKABQpgq_BUpJ8yoLm0nhFd5zaZN6EU2cNBb-HcyLTejHQTv0I2z1hTmCYVqOSGST_YlDHghrVqmLRTg4sObN7GUVc_Y6_QOuOpkzUctCGj8XwZg=s0-d-e1-ft#http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/0011.jpg)
10 years ago
VijimamboBALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA AFANYA MAZUNGUMUZO NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI WASHINGTON, DC
10 years ago
VijimamboRAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI APENDEZESHA SHEREHE YA CHAUKIDU SILVER SPRING, MARYLAND NCHINI MAREKANI