RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MSIKITI WA MASJIDIL HUDA CHAMAZI MBAGALA JIJINI DAR LEO
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, akikata utepe kuzindua rasmi Msikiti wa ‘Masjidil Huda’ uliojengwa na mfanyabiashara maarufu nchini, Said Salim Bakhresa katika eneo la Uwanja wa Chamazi, Mbagala jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti huyo wa Makampuni ya SSB, Said Salim Bakhresa, ambapo pia uzinduzi huo uliofanyika leo Julai 4, 2014, ulihudhuriwa na baadhi ya Viongozi wa Kiserikali akiwemo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi azindua msikiti wa Masjidil Huda Chamazi Mbagala Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokelewa na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa Makampuni ya SSB, Said Salim Bakhresa, wakati alipowasili Msikiti wa ‘Masjidil Huda’ uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa msikiti huo uliofanyika jana Julai 4, 2014.(Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wenyeji wake wakati alipowasili Msikiti wa ‘Masjidil Huda’...
11 years ago
Michuzi05 Jul
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ABDULRAHMAN KINANA NA RAIS MSTAAFU, ALI HASSAN MWINYI WATEMBELEA GYM YA MAZOEZI YA TIMU YA AZAM FC, CHAMAZI
![](https://2.bp.blogspot.com/-C0dVSzy7IFw/U7azXD4EGeI/AAAAAAACwjA/pu7PijZNyjg/s1600/001.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-Lnp-vRgXalQ/U7azeHK92yI/AAAAAAACwjk/CX7ssjyL_c0/s1600/01.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-84v1f1dNEwo/U8VflYYszTI/AAAAAAAF2dg/exqtgPpT4YQ/s72-c/1.jpg)
MTOTO WA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AJUMUIKA NA WADAU WA BENKI YA FNB KUPATA IFTARI YA PAMOJA JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-84v1f1dNEwo/U8VflYYszTI/AAAAAAAF2dg/exqtgPpT4YQ/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bDG3gYEKuFs/U8Vfq3bEOxI/AAAAAAAF2eM/bBJMPEmsKIs/s1600/2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PQTcCLNkL9s/VM8sTg_-pxI/AAAAAAACzHQ/TgZ_JWikUmM/s72-c/1.jpg)
RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-PQTcCLNkL9s/VM8sTg_-pxI/AAAAAAACzHQ/TgZ_JWikUmM/s1600/1.jpg)
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti
10 years ago
VijimamboRAIS MSTAAFU MHESHIMIWA ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC.
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC
10 years ago
MichuziRais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi wamtembelewa balozi Mulamula
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/HlyKQC6Okzw/default.jpg)