Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi wamtembelewa balozi Mulamula
Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti Mwinyi mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Bethesda, Maryland.
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akisaini kitabu cha wageni
Mama Sitti Mwinyi akisaini kitabu cha wageni mara walipowasili nyumbani kwa balozi
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti Mwinyi wenye nyuso za furaha baada ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti
10 years ago
VijimamboBALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA AFANYA MAZUNGUMUZO NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI WASHINGTON, DC
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/HlyKQC6Okzw/default.jpg)
10 years ago
VijimamboRAIS MSTAAFU MHESHIMIWA ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC.
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC
10 years ago
VijimamboRAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AFUNGA KIKAO CHA MABALOZI WA HESHIMA WASHINGTON, DC
10 years ago
VijimamboMWANDISHI WA VITABU YASIN KAPUYA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI WASHINGTON, DC
10 years ago
VijimamboHOTUBA YA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI ALIYOTOA KATIKA KUFUNGA MKUTANO WA MABALOZI WA HESHIMA