BALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA AFANYA MAZUNGUMUZO NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI WASHINGTON, DC
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akibadilishana mawili matatu na aliyekua Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Mark Green mara tu alipowasili kwenye ofisi za jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani lililopo barabara ya 22 Washington, DC. Balozi Mark Green alikua Balozi wa Marekani nchini Tanzania kuanzia mwaka 2007 mpaka 2009 na mwaka 2014 aliteuliwa kuwa Rais wa International Republican Institute na pia ni mmoja ya wakurugenzi wa bodi yaMillennium Chalenge Corporation (MCC)...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti
10 years ago
VijimamboRAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI APENDEZESHA SHEREHE YA CHAUKIDU SILVER SPRING, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC
10 years ago
VijimamboRAIS MSTAAFU MHESHIMIWA ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC.
10 years ago
VijimamboMWANDISHI WA VITABU YASIN KAPUYA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI WASHINGTON, DC
10 years ago
VijimamboRAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AFUNGA KIKAO CHA MABALOZI WA HESHIMA WASHINGTON, DC
10 years ago
VijimamboRAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AKABIDHI JEZI KWA MANAHODHA WA BARA NA VISIWANI WASHINGTON, DC
Balozi wa Tanzania nchini Marekami Mhe. Liberata Mulamula (wapili toka kushoto) akimtambulisha Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly na baadae kusalimiana na Rais msataafu Ali Hassan Mwinyi wakati alipokua akiwasili kwenye jengo la Ubalozi wa Tanzania siku ya Jumatano April 22, 2015 kwa ajili ya kukabidhi jezi kwa manahodha wa timu ya Tanzania Bara na Visiwani kwa ajili ya mtanange utakaochezwa siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa...
10 years ago
MichuziRais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi wamtembelewa balozi Mulamula
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PQTcCLNkL9s/VM8sTg_-pxI/AAAAAAACzHQ/TgZ_JWikUmM/s72-c/1.jpg)
RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-PQTcCLNkL9s/VM8sTg_-pxI/AAAAAAACzHQ/TgZ_JWikUmM/s1600/1.jpg)