RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA
Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha wakati alipotembelea katika banda la Mamlaka hiyo katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti
11 years ago
MichuziMzee Mwinyi atembelea banda la Mamlaka ya usafiri wa Anga katika Maadhinisho ya miaka 50 ya uhuru
11 years ago
Dewji Blog20 Apr
Mzee Mwinyi atembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCC) kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru yanayoendelea Mnazi Mmoja
Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Charles Chacha wakati alipotembelea katika banda la Mamlaka hiyo katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Rais Msaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akikabidhiwa nyaraka na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Charles Chach, zenye ujumbe wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PQTcCLNkL9s/VM8sTg_-pxI/AAAAAAACzHQ/TgZ_JWikUmM/s72-c/1.jpg)
RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-PQTcCLNkL9s/VM8sTg_-pxI/AAAAAAACzHQ/TgZ_JWikUmM/s1600/1.jpg)
10 years ago
VijimamboRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6DJu-ZY1SsM/VBmNnKlpX_I/AAAAAAAGkF8/YyvwAB5Ha04/s72-c/unnamed%2B(57).jpg)
Rais Wa awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi Mkutano wa 22 wa AQRB
Rais mstaafu wa Awamu ya pili wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa 22 wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) utakaofanyika Septemba 18 2014.
Msajili wa Bodi ya AQRB Bwana Jehad Abdalah Jehad amesema hayo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Bwana Jehad alisema kuwa lengo kuu la mkutano huo ni kuendeleza wataaluma wa fani ya...
10 years ago
MichuziRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PIL,ALHAJ MWINYI ATEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA NSSF JIJINI DAR LEO
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA YA DHAMINI KONGAMANO LA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (ICAO)