TBS KUANZA KUTUMIA MAABARA YA NYEGEZI MWANZA KUPIMA SAMPULI ZA VYAKULA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-bxlltlywdqA/Xtc8X-UjRVI/AAAAAAAAnug/7dVOD1_9LJ0kMySeqNRT8qtdyZ6lNnV6wCLcBGAsYHQ/s72-c/124b0cab-8967-4a24-9e61-4019b285f2c7%2B%25281%2529.jpg)
Shirika la Viwaango Tanzania (TBS) litaanza kutumia maabara ya uvuvi ya Nyegezi Mwanza (National Fish Quality Control Laboratory-NFQCL) katika upimaji wa sampuli za chakula zinazochukuliwa kwenye viwanda na masoko.
Mkurugenzi Mkuu wa TBS Dkt Athuman Ngenya ameyasema hayo leo wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu wa WIizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe aliyeambatana na Naibu wake Mhe. Ludovick Nduhiye, katika ofisi za TBS jijini Mwanza.
Dkt. Ngenya amesema kwa sasa TBS na NQCL zipo...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV22 Dec
Mwinyi azindua maabara ya utafiti wa Kutambua Sampuli Ya Vinasaba
Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amezindua maabara ya utafiti wa Vinasaba itakayoiwezesha Tanzania kubaini magonjwa na kuyatibu na hatimaye kupunguza gharama za kusafirisha sampuli kwenda nje ya nchi kwaajili ya uchunguzi.
Tanzania inakua ya pili kwenye nchi za Afrika kuwa na maabara hiyo ya kimataifa baada ya Afrika Kusini na hivyo kunufaika zaidi kupitia nchi nyingine kuleta vinasaba vyao nchini kwajili ya uchunguzi.
Vinasaba ni chembechembe zilizopo kwenye mwili wa...
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Kutana na pichaz 15 za ajali ya moto zilizonifikia kutoka Nyegezi Mwanza …
Mtu wangu wa nguvu imeninifikia ripoti ya ajali ya moto kutoka Nyegezi Mwanza ikiripotiwa kuwa ni tukio la ajali ya moto chanzo kikitajwa kuwa shoti ya umeme. Ripota wa millardayo.com alikuwepo kufutilia kila kitu, hizi ni pichaz za tukio lenyewe mtu wangu. Na maelezo ya mwenye nyumba Rutta ‘Tukio limetokea nikiwa sebuleni ndani ya muda […]
The post Kutana na pichaz 15 za ajali ya moto zilizonifikia kutoka Nyegezi Mwanza … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPLKISA TAMKO LA SUMATRA, ABIRIA WAKWAMA STENDI YA NYEGEZI MWANZA
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Edith Emily Mudogo, Diwani kata ya Nyegezi jijini Mwanza ni Kazi Tu
Diwani wa Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Edith Emily Mudogo akiapa jana ili kuwatumikia wananchi wa Kata hiyo katika kikao cha kwanza cha baraza la Madiwani wa halmshauri ya Jiji la Mwanza.
Mudogo ni miongoni mwa Madiwani wachapa kazi ambao wanaendana na Kauli Mbiu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli ya “HAPA KAZI TU” hii ikiwa ni kutokana na utendaji wake wa kazi...
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Mkuu wa maabara ya kupima wanariadha ajiuzulu
10 years ago
Mwananchi21 Oct
‘Tanzania hakuna maabara kupima ebola’
10 years ago
Habarileo20 Oct
Maabara ya kupima ubora wa bidhaa kujengwa Dar
UJENZI wa maabara kubwa ya kisasa ya kupima ubora wa bidhaa mbalimbali zinazozalishwa nchini utaanza karibuni Ubungo, Dar es Salaam, kwa msaada wa Serikali ya China. Akizungumza Dar es Salaam hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mussa Uledi alisema, maabara hiyo itakayogharimu Sh bilioni 10, itamaliza adha mbalimbali za kimaabara zinazojitokeza, ikiwemo kuwekwa sakafuni kwa sampuli zisizostahili kuwekwa chini kama vile vyakula.
11 years ago
Habarileo09 Jul
TIRDO wamiliki maabara ya kupima ubora wa chakula
WAMILIKI wa viwanda na wafanyabiashara wa vyakula wameshauriwa kutumia maabara ya kisasa ya kupimia ubora wa chakula ya Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda (TIRDO).
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Vyakula, vinywaji unavyokatazwa kutumia mara baada ya mazoezi