Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KISA TAMKO LA SUMATRA, ABIRIA WAKWAMA STENDI YA NYEGEZI MWANZA

Baadhi ya abiria wakiwa wamekwama kwenye Stendi Kuu ya Mabasi, Nyegezi jijini Mwanza leo. ...Abiria wakijaribu kutafuta suluhisho la usafiri baada ya mabasi kuchelewa kufika eneo hilo huku idadi ya wasafiri ikiwa kubwa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MABASI,,,,ABIRIA MJINI MOSHI WAKWAMA STENDI, WAIGEUZA UKUMBI WA SINEMA...

Hivi ndivyo kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi kilivyoonekana.Baadhi ya abiria wakiwa wamekaa kitako katika maegesho ya magari huku wakitizama Big Screen iliyopo jirani na kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi.Baadhi ya abiria wakitizama kwa mbali screen hiyo.Screen kubwa kwa ajili ya matangazo ya biashara iliyoko jirani na kituo kikuu cha mabasi ikionesha picha ya mashindano ya magari ambayo ilikuwa burudani kwa abiria baada ya kukosa usafiri kutokana na mgomo wa madereva uliotikisa nchi...

 

11 years ago

GPL

ABIRIA WAKWAMA NJIANI BAADA YA MALORI KUFUNGA BARABARA YA MWANZA - DAR

Baadhi ya abiria wakiwa eneo hilo la foleni baada ya malori kufunga barabara. ...Hawa waliamua kukaa barabarani wakisubiri mwongozo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Abiria wakwama Ruvu

MAELFU ya abiria waliokuwa wakisafiri kutoka jijini Dar es Salaam na wengine wakitokea mikoani wamekwama kutokana na daraja la Mto Ruvu lililopo wilayani Kibaha, Pwani kujaa maji kutokana na mvua...

 

11 years ago

Mwananchi

Abiria 2,000 wakwama Lindi

>Zaidi ya abiria 2,000 wanaofanya safari kutoka Dar es salamu kwenda mikoani ya Lindi, Mtwara, na Ruvuma waliokuwa wamekwama njiani  kwa siku tano mfululizo katika eneo la Marendengo wilayani Kilwa baada ya barabara kuzolewa na maji wameendelea na safari.

 

10 years ago

BBCSwahili

Abiria miamoja wakwama:ATC

Zaidi ya abiria mia moja wa ndege ya ATC wamekwama nchini Tanzania, baada ya safari zao kuarishwa.

 

10 years ago

Vijimambo

ABIRIA MIAMOJA WAKWAMA ATC

Zaidi ya abiria mia moja wa ndege ya ATC wamekwama nchini Tanzania, baada ya safari zao kuarishwa. Wengi wao wakielekea nchini Comoros na wengine wakiwa katika safari za ndani, kuelekea Mtwara na Kigoma wamekwama kwa siku mbili mjini Dar es salaam.
Abiria hao imebidi wakodiwe hoteli ilivyo ada wakisubiri muafaka wa namna watakavyosafiri kuelekea Comoro. Sharifu Hashim, Balozi wa heshima wa Comoro huko Chicago nchini Marekani, anasema mambo yake mengi yamekwama kutokana na tukio hili na...

 

11 years ago

Mwananchi

Maelfu ya abiria wakwama Ubungo

Uharibifu wa barabara uliotokana na mvua zinazoendelea kunyesha, umeendelea kuwatesa wakazi wa Dar es Salaam na mikoa mbalimbali nchini hasa baada ya mabasi ya mikoani kuzuiwa kufanya safari zake jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Abiria wa treni wakwama Manyoni

ZAIDI ya abiria 700 waliokuwa wakisafiri na treni ya abiria wakitokea Kigoma kuelekea Dar es Salaam, wamekwama kwa siku mbili wilayani Manyoni, baada ya treni ya mizigo kuanguka. Wakizungumza na...

 

9 years ago

MillardAyo

Kutana na pichaz 15 za ajali ya moto zilizonifikia kutoka Nyegezi Mwanza …

Mtu wangu wa nguvu imeninifikia ripoti ya ajali ya moto kutoka Nyegezi Mwanza ikiripotiwa kuwa ni tukio la ajali ya moto chanzo kikitajwa kuwa shoti ya umeme. Ripota wa millardayo.com alikuwepo kufutilia kila kitu, hizi ni pichaz za tukio lenyewe mtu wangu. Na maelezo ya mwenye nyumba Rutta ‘Tukio limetokea nikiwa sebuleni ndani ya muda […]

The post Kutana na pichaz 15 za ajali ya moto zilizonifikia kutoka Nyegezi Mwanza … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani