MGOMO WA MABASI,,,,ABIRIA MJINI MOSHI WAKWAMA STENDI, WAIGEUZA UKUMBI WA SINEMA...
Hivi ndivyo kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi kilivyoonekana.Baadhi ya abiria wakiwa wamekaa kitako katika maegesho ya magari huku wakitizama Big Screen iliyopo jirani na kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi.Baadhi ya abiria wakitizama kwa mbali screen hiyo.Screen kubwa kwa ajili ya matangazo ya biashara iliyoko jirani na kituo kikuu cha mabasi ikionesha picha ya mashindano ya magari ambayo ilikuwa burudani kwa abiria baada ya kukosa usafiri kutokana na mgomo wa madereva uliotikisa nchi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMGOMO WA MABASI, WASAFIRI MJINI BUKOBA WAKWAMA
10 years ago
GPLKISA TAMKO LA SUMATRA, ABIRIA WAKWAMA STENDI YA NYEGEZI MWANZA
11 years ago
MichuziNEWZZ ALERT:STENDI KUU YA MABASI MOSHI,WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA
10 years ago
GPLMGOMO WA MABASI STENDI YA UBUNGO
5 years ago
MichuziKAMANDA MATEI,AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA STENDI, AZUIA SAFARI KWA BAADHI YA MABASI YA ABIRIA
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za usajili...
10 years ago
GPLYALIYOJIRI LEO KATIKA MGOMO WA MADEREVA WA MABASI YA ABIRIA DAR
10 years ago
Michuzi10 years ago
Vijimambo28 Apr
Mgomo mzito wanukia. Mabasi yote ya abiria yapanga kugoma nchi nzima.
Siku 17 baada ya madereva wa mabasi mchini kugoma na kutikisa nchi, Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo mikoani (Taboa) kimetangaza mgomo mwingine nchi nzima.
Mgomo wa Aprili 9, mwaka huu uliodumu kuanzia alfajiri hadi saa 7:00 mchana ulitikisa nchi na kuwaathiri abiria wengi waliokuwa wanasafiri kwenda maeneo mbalimbali ya nchi.
Jana Taboa walitangaza kusitisha utoaji huduma kuanzia kesho ikiwa ni hatua ya kupinga nauli mpya za mabasi zilizotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi...
10 years ago
Dewji Blog05 May
Exclusive Usiku huu Mgomo wa Madereva: Abiria walala ndani ya mabasi Ubungo, Mo blog ipo ‘live’
Mwandishi Mwandamizi wa Modewji blog (mtandao huu), Andrew Chale akiwa ndani ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo, Jijini Dar es Salaam akiendelea ‘kusaka’ habari hasa kujionea mazingira ya abiria waliokuwa na watotom wagonjwa na wasiojiweza wanavyopata taabu usiku huu baada ya mgomo huo huku abiria wakilala kwenye magari waliokatia tiketi
Na Andrew Chale, Modewji blog
Hadi muda huu wa saa tano na nusu usiku (11:34 pm) leo Mei 4, Mtandao wako bora nchini wa...