Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abiria wa treni wakwama Manyoni

ZAIDI ya abiria 700 waliokuwa wakisafiri na treni ya abiria wakitokea Kigoma kuelekea Dar es Salaam, wamekwama kwa siku mbili wilayani Manyoni, baada ya treni ya mizigo kuanguka. Wakizungumza na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Treni ya mizigo yaanguka, abiria 1,000 wa treni wakwama Dodoma

Zaidi ya abiria 1,000 waliokuwa wakisafiri kwa treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani ya Kigoma na Mwanza wamekwama mkoani hapa baada ya treni ya mizigo kuanguka kati ya Kituo cha Itigi na Kitalaka.

 

9 years ago

Mwananchi

Abiria 900 wakwama Dar baada ya treni ya mzigo kupata ajali

Watu zaidi ya 900 wamekwama katika stesheni ya Pugu jijini Dar es Salaam tangu jana usiku baada ya treni ya mizigo kuangusha mabehewa na kuzuia njia.

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitka kutangaza kuwa treni za abiria za kwenda Kigoma hazitofika katika stesheni ya Kigoma badala yake zitatumia kituo kidogo cha Katosho.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni  kutofika katika stesheni ya Kigoma  unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini  Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la  stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...

 

10 years ago

Michuzi

Abiria wa Treni ya Reli ya Kati wakwama katika Stesheni ya Uvinza,Kigoma leo

 Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi sasa kutoka Mkoani Kigoma,inaeleza kuwa Abiria waliokuwa wakisafiri kwa Treni ya Reli ya Kati kutokea jijini Dar es salaam kuelekea Kigoma wamekwama wa katika Stesheni ya Uvinza mara baada ya kutokea kwa hitilafu kwenye Treni ya mizingo iliyokuwa ikitokea mkoani Kigoma kuelekea Dar es salaam.
Ripota wa Globu ya Jamii ambaye ni mmoja wa abiria hao,amezungumza na stesheni masta wa wa Uvinza na kumueleza kuwa ameshatuma wataalam kwenda eneo la tukio...

 

11 years ago

GPL

BASI LAGONGANA NA TRENI MANYONI

Basi la Bunda Express likiwa eneo la ajali Manyoni, Singida. Basi la Bunda Express likitokea Dodoma-Mwanza, limegongana na treni eneo la Manyoni ambapo inadaiwa watu wanne wamepoteza maisha. Majeruhi tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Abiria wakwama Ruvu

MAELFU ya abiria waliokuwa wakisafiri kutoka jijini Dar es Salaam na wengine wakitokea mikoani wamekwama kutokana na daraja la Mto Ruvu lililopo wilayani Kibaha, Pwani kujaa maji kutokana na mvua...

 

11 years ago

Mwananchi

Abiria 2,000 wakwama Lindi

>Zaidi ya abiria 2,000 wanaofanya safari kutoka Dar es salamu kwenda mikoani ya Lindi, Mtwara, na Ruvuma waliokuwa wamekwama njiani  kwa siku tano mfululizo katika eneo la Marendengo wilayani Kilwa baada ya barabara kuzolewa na maji wameendelea na safari.

 

11 years ago

Mwananchi

Maelfu ya abiria wakwama Ubungo

Uharibifu wa barabara uliotokana na mvua zinazoendelea kunyesha, umeendelea kuwatesa wakazi wa Dar es Salaam na mikoa mbalimbali nchini hasa baada ya mabasi ya mikoani kuzuiwa kufanya safari zake jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Abiria miamoja wakwama:ATC

Zaidi ya abiria mia moja wa ndege ya ATC wamekwama nchini Tanzania, baada ya safari zao kuarishwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani