Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASI LAGONGANA NA TRENI MANYONI

Basi la Bunda Express likiwa eneo la ajali Manyoni, Singida. Basi la Bunda Express likitokea Dodoma-Mwanza, limegongana na treni eneo la Manyoni ambapo inadaiwa watu wanne wamepoteza maisha. Majeruhi tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Abiria wa treni wakwama Manyoni

ZAIDI ya abiria 700 waliokuwa wakisafiri na treni ya abiria wakitokea Kigoma kuelekea Dar es Salaam, wamekwama kwa siku mbili wilayani Manyoni, baada ya treni ya mizigo kuanguka. Wakizungumza na...

 

10 years ago

GPL

AJALI MBEYA: BASI LA COCA COLA LAGONGANA NA NADIA ASUBUHI HII

Gari aina ya Toyota Nadia likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana na basi lililokuwa limebeba wafanyakazi wa Kampuni ya Coca Cola leo asubuhi mkoani Mbeya.  Basi la kubeba wafanyakazi wa Kampuni ya Coca Cola baada ya kugongana na Nadia.…

 

11 years ago

Michuzi

Wasafiri wa treni waliokwama Manyoni wasafirishwa kwa mabasi kuja Dar

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unawaarifu wananchi kwa jumla kuwa imefanikiwa kuwasafirisha kuja Dar abiria takriban 678 waliokwama katika Stesheni ya Manyoni. Zoezi hilo linaloendeshwa kwa awamu mbili tofauti lilianza usiku wa manane hadi saa 10 usiku wa kuamkia leo .
Kwa mujibu wa taarifa ya uongozi zoezi la pili litaanza tena kuanzia saa asubuhi ya leo kwa abiria wapatao 699 waliosalia kutegemeana na kupatikana mabasi mengine zaidi ya 11 yanayohitajika.
Kukwama kwa...

 

10 years ago

GPL

AJALI: BASI LA ABILIA LAGONGANA USO KWA USO NA FUSO LA NYANYA ENEO LA MIKUMI

Watu wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujerihiwa baada ya basi la FM Safari likitokea Dar es Salaam kwenda mkoani Mbeya kugongana uso kwa uso na Fuso iliyo sheheni nyanya katika eneo la hifadhi ya mikumi barabara ya Morogoro-Iringa. Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa basi kutaka kulipita gari lingine na hivyo kugongana uso kwa uso ambapo wametupia lawama baadhi ya abiria...

 

10 years ago

Vijimambo

BASI LA NGANGA LAGONGANA USO KWA USO NA FUSO KISHA MAGARI YOTE YAWAKA MOTO

Basi la Nganga linalofanya safari zake Iringa na Kilombero limegongana uso kwa  uso na Fuso kisha magari hayo kuteketea kwa moto huko maeneo ya Milimani kilometa kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kama unaenda Morogoro. Inasadikika kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengine kujeruiwa vubaya. Chanzo chetu kunasema kuwa ajali hii imetokea leo asubuhi. 
Kwa Taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa.

 

11 years ago

Michuzi

Breaking nyuzzz......... :Basi la Simba Mtoto lagongana uso kwa uso na lori Daraja la Wami leo.

Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga likiwa limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani,dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.tutaendelea kupeana taarifa zaidi hapo baadae.Baadhi ya wasamaria wema wakijaribu kumchomoa Dereva  wa Lori hilo aliyekuwa amebanwa vibaya,pichani ambalo namba zake za usajili hazikufahamika mara moja.

 

10 years ago

Michuzi

news alert: Ajali ingine yatokea Soni leo, lori la mafuta lagongana na basi la abiria uso kwa uso

Abiria zaidi ya 50 wamenusurika leo bada ya basi walilokuwa wakisafiria liitwalo Burudani kugongana uso kwa uso na Lori la tenki la mafuta maeneo ya Soni mkoani Tanga. Mashuhuda wamesema hii ajali imetokea baada ya Lori la mafuta kukatika breki na kuvaana na basi hilo uso kwa uso. Habari zinasema hakuna maafa yaliyoripotiwa hadi sasa ila watu kadhaa wamepata majeraha na kukimbizwa hospitali. Hii ni ajali ya pili ya basi la abiria kutokea leo, ikufuatiwa na ile ya asubuhi maeneo ya Msimba,...

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya basi, treni yaua 12

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulMATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Majeruhi ajali ya basi na treni wasaidiwa

SERIKALI ya Mkoa wa Morogoro na wadau wengineo wametoa misaada mbalimbali zikiwemo fedha tasilimu kwa majeruhi wa ajali ya basi kugonga treni wanaotibiwa hospitali ya Mt. Francis wilayani hapa. Katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani