BASI LA NGANGA LAGONGANA USO KWA USO NA FUSO KISHA MAGARI YOTE YAWAKA MOTO
![](http://2.bp.blogspot.com/-i_ysV_7B8Xo/VSo2tjZusAI/AAAAAAABLK0/qobF67WRFKg/s72-c/11140755_618753348261385_848284018236908077_n.jpg)
Basi la Nganga linalofanya safari zake Iringa na Kilombero limegongana uso kwa uso na Fuso kisha magari hayo kuteketea kwa moto huko maeneo ya Milimani kilometa kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kama unaenda Morogoro. Inasadikika kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengine kujeruiwa vubaya. Chanzo chetu kunasema kuwa ajali hii imetokea leo asubuhi.
Kwa Taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc6IJ-Hb7fvCLroFmPeYjZ4dBHNHUnGi9SLYkqy7MQ*mKFsXmaZ0ArEvxxVdz9aQnFZ0t7B*4TglCUspLlJZjeb8/IMG20150318WA0008.jpg?width=650)
AJALI: BASI LA ABILIA LAGONGANA USO KWA USO NA FUSO LA NYANYA ENEO LA MIKUMI
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujerihiwa baada ya basi la FM Safari likitokea Dar es Salaam kwenda mkoani Mbeya kugongana uso kwa uso na Fuso iliyo sheheni nyanya katika eneo la hifadhi ya mikumi barabara ya Morogoro-Iringa. Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa basi kutaka kulipita gari lingine na hivyo kugongana uso kwa uso ambapo wametupia lawama baadhi ya abiria...
10 years ago
MichuziBreaking nyuzzz......... :Basi la Simba Mtoto lagongana uso kwa uso na lori Daraja la Wami leo.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0eyGrjq21aU/VSqMPxng9dI/AAAAAAAHQsM/TX-d2qNbzDM/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
news alert: Ajali ingine yatokea Soni leo, lori la mafuta lagongana na basi la abiria uso kwa uso
![](http://2.bp.blogspot.com/-0eyGrjq21aU/VSqMPxng9dI/AAAAAAAHQsM/TX-d2qNbzDM/s1600/unnamed%2B(9).jpg)
10 years ago
Michuzi19 Feb
WATU WAWILI WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA AJALI YA BASI KUGONGANA USO KWA USO NA LORI
Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo katika ajali ya Basi kugongana na Lori ajali iliyotokea tarehe 19/02/2015 majira ya saa 13:15hrs huko eneo la Vikonje Kata ya Mtumba Barabara ya Dodoma – Morogoro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imehusisha Basi lenye namba za usajili T. 663 AXL aina ya SCANIA Kampuni ya KIDIA ONE lililokuwa litokea Dar es Salaam kwenda Mwanza...
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo katika ajali ya Basi kugongana na Lori ajali iliyotokea tarehe 19/02/2015 majira ya saa 13:15hrs huko eneo la Vikonje Kata ya Mtumba Barabara ya Dodoma – Morogoro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imehusisha Basi lenye namba za usajili T. 663 AXL aina ya SCANIA Kampuni ya KIDIA ONE lililokuwa litokea Dar es Salaam kwenda Mwanza...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-fJN8buW0sO8/Vbdrs0PSaKI/AAAAAAABS2g/bRqGRDjRVwQ/s72-c/11813388_760691810708462_2873074362703542337_n.jpg)
WATU WANNE WAFARIKI BAADA YA BASI LA SABUNI EXPRESS KUGONGAA USO KWA USO NA TOYOTA LAND CRUISER ENEO LA BUGORORA MKOANI KAGERA
![](http://4.bp.blogspot.com/-fJN8buW0sO8/Vbdrs0PSaKI/AAAAAAABS2g/bRqGRDjRVwQ/s640/11813388_760691810708462_2873074362703542337_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-mwh7Kbv4Pbs/VbdruKPFIHI/AAAAAAABS2s/Dbhlz4d4ns8/s640/11218754_760691854041791_5831288004828444669_n.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wqiMRXIcgrA/Vbdrs3PObuI/AAAAAAABS2c/vUKT0cVYTD0/s640/11800053_760691814041795_6959831254475069191_n.jpg)
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
10 years ago
MichuziMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage
10 years ago
VijimamboMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya Jambo Leo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam juzi. (PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)…
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4TETQG4tBiM/U8rqnC9ghAI/AAAAAAAF3zg/fCwtIzhDE5k/s72-c/SH100835.jpg)
Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club
![](http://2.bp.blogspot.com/-4TETQG4tBiM/U8rqnC9ghAI/AAAAAAAF3zg/fCwtIzhDE5k/s1600/SH100835.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IqQLziTISnk/U8rqnKLDEYI/AAAAAAAF3zc/lKN9ty_gKWs/s1600/images+(1).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania