Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Edith Emily Mudogo, Diwani kata ya Nyegezi jijini Mwanza ni Kazi Tu

Diwani wa Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Edith Emily Mudogo akiapa jana ili kuwatumikia wananchi wa Kata hiyo katika kikao cha kwanza cha baraza la Madiwani wa halmshauri ya Jiji la Mwanza.

Na:George Binagi-GB Pazzo @Binagi Media Group (BMG)

Mudogo ni miongoni mwa Madiwani wachapa kazi ambao wanaendana na Kauli Mbiu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli ya “HAPA KAZI TU” hii ikiwa ni kutokana na utendaji wake wa kazi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Dk.Faustine Ndugulile azindua mashindano ya Diwani Cup kata ya Kisarawe Two Manispaa ya Temeke jijini Dar

Mbunge wa Kigamboni, Dk.Faustine Ndugulile (wa pili kulia), akizungumza na wachezaji wa timu za Dubu na Tumaini (hawapo pichani), wakati akifungua mashindano ya  kombe la umoja na mshikamano maarufu kama Diwani Cup yaliyoanza uwanja wa Kibamande eneo la Mwasonga Manispaa ya Temeke Dar es Salaam jana. Kulia ni mlezi wa mashindano hayo,  Diwani wa Kata ya Kisarawe II,  Issa Zahoro.

Mlezi wa mashindano hayo Diwani wa Kata ya Kisarawe II,  Issa Zahoro, akikagua timu ya Dubu kutoka eneo la...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE KUFUNGUA MASHINDANO YA DIWANI CUP KATA YA KISARAWE TWO TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM


 Diwani wa Kata ya Kisarawe Two, Issa Zahoro, akimkabidhi jezi na mpira Nahodha wa Timu ya Nyati, Saidi Momba kwa ajili ya mashindano hayo. Diwani wa Kata ya Kisarawe Two, Issa Zahoro (kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwakilishi wa Timu ya Soka ya Mwasonga, Saidi Simba Dar es Salaam leo asubuhi  kwa ajili ya michuano ya Diwani Cup katika kata hiyo yenye kauli mbiu 'Umoja ni Mshikamano" yatakayoanza Jumamosi Juni 20 mwaka huu.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo, Ayub Mkonde...

 

10 years ago

Dewji Blog

Diwani Mathius wa kata ya Malangarini afunga kampeni za uchaguzi kwenye kata yake

20141212_150512

Diwani wa kata ya Mlangarini, Mathius Manga akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili yakuwachagua viongozi wa  serikali za  mitaa utakaofanyika jumapili Desemba 14 mwaka huu.

Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza.  

Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi chote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KIGAMBONI DK.FAUSTINE NDUGULILE AZINDUA MASHINDANO YA DIWANI CUP KATA YA KISARAWE TWO MANISPAA YA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM

Mbunge wa Kigamboni, Dk.Faustine Ndugulile (wa pili kulia), akizungumza na wachezaji wa timu za Dubu na Tumaini (hawapo pichani), wakati akifungua mashindano ya  kombe la umoja na mshikamano maarufu kama Diwani Cup yaliyoanza uwanja wa Kibamande eneo la Mwasonga Manispaa ya Temeke Dar es Salaam jana. Kulia ni mlezi wa mashindano hayo,  Diwani wa Kata ya Kisarawe II,  Issa Zahoro.Mlezi wa mashindano hayo Diwani wa Kata ya Kisarawe II,  Issa Zahoro, akikagua timu ya Dubu kutoka eneo la...

 

10 years ago

GPL

KISA TAMKO LA SUMATRA, ABIRIA WAKWAMA STENDI YA NYEGEZI MWANZA

Baadhi ya abiria wakiwa wamekwama kwenye Stendi Kuu ya Mabasi, Nyegezi jijini Mwanza leo. ...Abiria wakijaribu kutafuta suluhisho la usafiri baada ya mabasi kuchelewa kufika eneo hilo huku idadi ya wasafiri ikiwa kubwa.…

 

9 years ago

MillardAyo

Kutana na pichaz 15 za ajali ya moto zilizonifikia kutoka Nyegezi Mwanza …

Mtu wangu wa nguvu imeninifikia ripoti ya ajali ya moto kutoka Nyegezi Mwanza ikiripotiwa kuwa ni tukio la ajali ya moto chanzo kikitajwa kuwa shoti ya umeme. Ripota wa millardayo.com alikuwepo kufutilia kila kitu, hizi ni pichaz za tukio lenyewe mtu wangu. Na maelezo ya mwenye nyumba Rutta ‘Tukio limetokea nikiwa sebuleni ndani ya muda […]

The post Kutana na pichaz 15 za ajali ya moto zilizonifikia kutoka Nyegezi Mwanza … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

CCM Blog

TBS KUANZA KUTUMIA MAABARA YA NYEGEZI MWANZA KUPIMA SAMPULI ZA VYAKULA.

 Shirika la Viwaango Tanzania (TBS) litaanza kutumia maabara ya uvuvi ya Nyegezi  Mwanza (National Fish Quality Control Laboratory-NFQCL) katika upimaji wa sampuli za  chakula zinazochukuliwa kwenye viwanda na  masoko.

Mkurugenzi Mkuu wa TBS Dkt Athuman Ngenya ameyasema hayo leo wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu wa WIizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe aliyeambatana na Naibu wake Mhe. Ludovick Nduhiye, katika ofisi za TBS jijini Mwanza.

Dkt. Ngenya amesema kwa sasa TBS  na NQCL zipo...

 

9 years ago

Habarileo

Kata ya Ipala Dodoma yapata Diwani

GEORGE Magawa jana alitangazwa kuwa Diwani wa Kata ya Ipala katika wilaya ya Dodoma Mjini baada ya kupita bila kupingwa kutokana na wagombea wawili wa nafasi hiyo kujitoa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani apinga ongezeko la mitaa, kata

DIWANI wa Misufini katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Ruvuma, Salum Mfamaji (CHADEMA), amesema kuongezwa kwa mitaa katika manispaa hiyo ni kuibebesha mzigo serikali na wananchi. Mfamaji alisema hayo wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani