Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kata ya Ipala Dodoma yapata Diwani

GEORGE Magawa jana alitangazwa kuwa Diwani wa Kata ya Ipala katika wilaya ya Dodoma Mjini baada ya kupita bila kupingwa kutokana na wagombea wawili wa nafasi hiyo kujitoa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Diwani Mathius wa kata ya Malangarini afunga kampeni za uchaguzi kwenye kata yake

20141212_150512

Diwani wa kata ya Mlangarini, Mathius Manga akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili yakuwachagua viongozi wa  serikali za  mitaa utakaofanyika jumapili Desemba 14 mwaka huu.

Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza.  

Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi chote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani apinga ongezeko la mitaa, kata

DIWANI wa Misufini katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Ruvuma, Salum Mfamaji (CHADEMA), amesema kuongezwa kwa mitaa katika manispaa hiyo ni kuibebesha mzigo serikali na wananchi. Mfamaji alisema hayo wakati...

 

9 years ago

Mwananchi

Diwani Kata ya Ubungo kizimbani kwa kujeruhi

Diwani wa kata ya Ubungo anayemaliza muda wake, Boniface Jacob leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam akituhumiwa kumpiga na kumjeruhi mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru, Christopher Lisso.

 

5 years ago

Michuzi

CCM Njombe wamnasa Diwani wa kata ya MjiMwema

Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe, kimefanikiwa kumnasa na kumkabidhi kadi ya uanachama aliyekuwa diwani wa kata ya Mjimwema mjini Njombe kupitia tiketi ya CHADEMA Abuu Mtamike huku kikikiri kuwa amewasumbua kwa muda mrefu kama alivyowasumbua aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa Fakii Lulandala. Katika kikao cha kumpokea diwani huyo viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi na serikali wamesema bwana Mtamike sasa ameutambua ukweli juu ya kazi kubwa...

 

11 years ago

GPL

DIWANI WA CCM AFARIKI DUNIA KATA YA IGALULA TABORA

Marehemu Seleman Kapalu. Diwani Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Igalula wilayani Uyui mkoa wa Tabora, Seleman Kapalu amefariki dunia kwa maradhi ya kifua. Taratibu za Mazishi zinaendelea.MUNGU AMLAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.…

 

5 years ago

Michuzi

DC IKUNGI AONGOZA MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA KITUNTU SINGIDA


 Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa diwani mwenzao wa Kata ya Kituntu, Saidi Tumbwi wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo hii.  Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo, akitoa salamu za rambirambi wakati wa mazishi hayo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Ally Mwanga akizungumza kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

DIWANI MPWIMBWI ALALAMIKIA MIFUGO HOLELA KATA YA MIONO


NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO 
DIWANI wa Kata ya Miono ,Halmashauri ya Chalinze ,Bagamoyo Mkoa wa Pwani Juma Mpwimbwi, amelalamikia mifugo holela ikiwa ni pamoja na inayomilikiwa na mfugaji , aliyemtaja kwa jina la Malimengi,ambayo inasababisha kundi la wakulima kupata hasara ya kilimo chao kutokana na uharibifu. 
Mbele ya Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani hapa chini ya Mwenyekiti wake Alhaj Abdul Sharifu, Mpwimbwi alisema ,mfugaji huyo amekuwa na kiburi cha fedha alizonazo,...

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA DIWANI WA CCM KATA YA LUPINGU LEO

Gari aina ya Toyota Coaster iliyokuwa ikifanya safari zake kutoka Ludewa Mjini kuelekea Lupingu baada ya kupata ajali iliyoondoa uhai wa Diwani wa Viti Maalum CCM Kata ya Lupingu, Prisca Kayombo (Zaruta). Diwani wa Viti Maalum CCM Kata ya Lupingu, Prisca Kayombo (Zaruta) wa  tatu  kushoto enzi za uhai wake…

 

9 years ago

Michuzi

Diwani Urio akabidhiwa hati ya uteule kata ya Kunduchi.

Msimizi Msaidizi wa uchaguzi kata ya Kunduchi, Ramadhani Masenza akimkabidhi hati ya utambulisho Diwani Mteule wa kata hiyo kwa tiketi ya CCM, Michael Urio wakati wa hafla ya utambulisho na makabidhiasno iliyofanyika Dar es Salam jana. Diwani Mteule wa Kata ya Kunduchi kwa tiketi ya CCM Michael Urio akiwapungia wafuasi wa chama hicho mara baada ya kukabidhiwa hati ya Utambulisho kutoka kwa ofisi ya Mtendaji kunduchi Dar es Salaam jana.Picha na Mpiga picha wetu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani