Dk.Faustine Ndugulile azindua mashindano ya Diwani Cup kata ya Kisarawe Two Manispaa ya Temeke jijini Dar
Mbunge wa Kigamboni, Dk.Faustine Ndugulile (wa pili kulia), akizungumza na wachezaji wa timu za Dubu na Tumaini (hawapo pichani), wakati akifungua mashindano ya kombe la umoja na mshikamano maarufu kama Diwani Cup yaliyoanza uwanja wa Kibamande eneo la Mwasonga Manispaa ya Temeke Dar es Salaam jana. Kulia ni mlezi wa mashindano hayo, Diwani wa Kata ya Kisarawe II, Issa Zahoro.
Mlezi wa mashindano hayo Diwani wa Kata ya Kisarawe II, Issa Zahoro, akikagua timu ya Dubu kutoka eneo la...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMBUNGE WA KIGAMBONI DK.FAUSTINE NDUGULILE AZINDUA MASHINDANO YA DIWANI CUP KATA YA KISARAWE TWO MANISPAA YA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE KUFUNGUA MASHINDANO YA DIWANI CUP KATA YA KISARAWE TWO TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FjFOiJZv0y0/UvCskubv4HI/AAAAAAAFKxk/ISzeJzYkWnU/s72-c/unnamed+(24).jpg)
Mashindano ya Diwani Cup kata ya Mutuka yazinduliwa huko Mkoani Manyara
![](http://1.bp.blogspot.com/-FjFOiJZv0y0/UvCskubv4HI/AAAAAAAFKxk/ISzeJzYkWnU/s1600/unnamed+(24).jpg)
Diwani wa Kata ya Mutuka Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Mwalimu Yona Wao amezindua mashindano ya soka kwenye kata yake itakayoshirikisha timu tano za vijiji vilivyopo...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ya5vlxHNX68/VD_MdjYH4iI/AAAAAAAGq8c/RKmVvMxPsPE/s72-c/unnamed%2B(53).jpg)
Mh. Faustine Ndugulile azungumza na Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-ya5vlxHNX68/VD_MdjYH4iI/AAAAAAAGq8c/RKmVvMxPsPE/s1600/unnamed%2B(53).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-rY_Nie5V0zE/VD_MfS2oT5I/AAAAAAAGq8o/kc_Xn9HglnY/s1600/IMG-20141016-WA0030.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-L0k8hzxv3P0/VD_MfqhyscI/AAAAAAAGq8s/xfayiHVOQlE/s1600/IMG-20141016-WA0033.jpg)
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
10 years ago
GPLMBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA DAR
 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile akisalimia wananchi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika jijini Dar es Salam.  Mwalimu mstaafu wa Sekondari na Mjumbe Mwelimishaji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Wazazi Tua Moyo Ali Ahmad kwa jina maarufu mpemba wa Asili, akisoma shairi wakati wa Mkutano wa Hadhara ambapo Mgeni Rasmi ni Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile.…
...
10 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA DAR ES SALAAM
10 years ago
GPLKATIBU CCM MKOA WA DAR AZINDUA SEMINA ELEKEZI KWA MABALOZI WA MASHINA YA KATA YA VITUKA JIMBO LA TEMEKE
 Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu, akizungumza na mabalozi wa mashina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Vituka Jimbo lake, ambapo mgeni Rasmi wa semina ya mabalozi hao alikuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Abillahi Mihella.  Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Miburani Ally… ...
11 years ago
GPLMBUNGE FAUSTINE NDUGULILE AKIKABIDHI TUZO KWA WASHINDI WA BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS DAR LIVE
Mgeni rasmi kwenye Bonanza la Jogging & Global Breaking News, Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile, akiwa tayari kukabidhi tuzo kwa washindi wa bonanza hilo ndani ya Dar Live.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania