Mh. Faustine Ndugulile azungumza na Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-ya5vlxHNX68/VD_MdjYH4iI/AAAAAAAGq8c/RKmVvMxPsPE/s72-c/unnamed%2B(53).jpg)
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na WanaCCM wa Jimbo hilo wakati wa Mkutano Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe uliofanyika mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa DarLive,Mbagala jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe wakimsikiliza kwa Makini Mbunge wao, Mh. Dkt. Faustine Ndugulile (hayupo pichani) wakati akiongea alipokuwa Mgeni rasmi kwenye Mkutano huo uliofanyika mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa DarLive,Mbagala jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Dk.Faustine Ndugulile azindua mashindano ya Diwani Cup kata ya Kisarawe Two Manispaa ya Temeke jijini Dar
Mbunge wa Kigamboni, Dk.Faustine Ndugulile (wa pili kulia), akizungumza na wachezaji wa timu za Dubu na Tumaini (hawapo pichani), wakati akifungua mashindano ya kombe la umoja na mshikamano maarufu kama Diwani Cup yaliyoanza uwanja wa Kibamande eneo la Mwasonga Manispaa ya Temeke Dar es Salaam jana. Kulia ni mlezi wa mashindano hayo, Diwani wa Kata ya Kisarawe II, Issa Zahoro.
Mlezi wa mashindano hayo Diwani wa Kata ya Kisarawe II, Issa Zahoro, akikagua timu ya Dubu kutoka eneo la...
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE KUFUNGUA MASHINDANO YA DIWANI CUP KATA YA KISARAWE TWO TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziMBUNGE WA KIGAMBONI DK.FAUSTINE NDUGULILE AZINDUA MASHINDANO YA DIWANI CUP KATA YA KISARAWE TWO MANISPAA YA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
VijimamboDK. FAUSTINE NDUGULILE AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI VIJIBWENIâ€
9 years ago
GPLDK. FAUSTINE NDUGULILE AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI VIJIBWENI
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Dk Faustine Ndugulile
10 years ago
GPLMBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA DAR
10 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboRAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MABALOZI NA WENYEVITI WA WILAYA MFENESINI CCM