Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. FAUSTINE NDUGULILE AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI VIJIBWENI‏

Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia CCM, Dk. Faustine Ndugulile akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mzima uliopo Kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam jana.Wananchi wakifurahia alipokuwa akipanda jukwaani mgombe ubunge kupitia CCM, Dk. Faustine Ndugulile.Wanachama wakimsikiliza kwa makini mgombea.Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (kulia) akimkabidhi ilani ya chama hicho mgombea nafasi ya udiwani kupitia chama hicho, Zacharia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DK. FAUSTINE NDUGULILE AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI VIJIBWENI‏

  Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia CCM, Dk. Faustine Ndugulile akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mzima uliopo Kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam jana.  Wananchi wakifurahia alipokuwa akipanda jukwaani mgombe ubunge kupitia CCM, Dk. Faustine Ndugulile.…

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA DAR

 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile akisalimia wananchi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika jijini Dar es Salam.  Mwalimu mstaafu wa Sekondari na Mjumbe Mwelimishaji wa Chama cha Mapinduzi  (CCM) na Mwenyekiti wa Wazazi Tua Moyo Ali Ahmad kwa jina maarufu mpemba wa Asili, akisoma shairi wakati wa Mkutano wa Hadhara ambapo Mgeni Rasmi ni Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile.…
...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA DAR ES SALAAM

 Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile akizungunza na  Mamia waliojitokeza   katika mkutano wa hadhara ulio fanyika Kigamboni  Dar es Salaam jana.
Dk. Faustine Ndugulile akizawadiwa sare ya kitenge na muweka hazina wa kikundi cha Jitegemee Vikoba Group Happiness mfinanga wakati walipokuwa wakipewa mchango wao wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge huyo wakati wa mkutano huo (kulia) ni Mwenyekiti Tungi Kata ya Kigamboni Joram Msuya.Wanachi wakiwa katika mkutano huo wakifatilia maongezi...

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Dk Faustine Ndugulile

Kwa nini hutembelei baadhi ya maeneo hasa nje ya Tandika, Temeke na Buza naomba ututembelee usisubiri hadi uchaguzi ufike kwani huku maeneo ya Kurasini kuna kero nyingi tunahitaji kukuona siyo hadi wakati wa kampeni.

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Faustine Ndugulile azungumza na Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe leo

Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na WanaCCM wa Jimbo hilo wakati wa Mkutano Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe uliofanyika mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa DarLive,Mbagala jijini Dar es Salaam.Sehemu ya Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe wakimsikiliza kwa Makini Mbunge wao, Mh. Dkt. Faustine Ndugulile (hayupo pichani) wakati akiongea alipokuwa Mgeni rasmi kwenye Mkutano huo uliofanyika mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa DarLive,Mbagala jijini Dar es...

 

9 years ago

Vijimambo

DK. SHEIN AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA MICHEWENI

1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi wa Jimbo la Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba katika Mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu pamoja na kuwaombea kura Mgombea Urais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania na Mgombea Mwenza,pia wakiwemo wagombea Ubunge,Uwakilishi na Udiwani. Picha zote na Ikulu.6Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamu Mwenyekiti wa CCM...

 

9 years ago

Michuzi

Maalim seif ahutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Masumbani jimbo la Chumbuni,

Na Khamis Haji, OMKR Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema akichaguliwa atakuza uwezo wa Serikali kujiongezea mapato na ataongeza kima cha chini cha mshahara hadi kufikia 400,000. Akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Masumbani jimbo la Chumbuni, Maalim Seif amesema Sera ya CUF imeonesha maeneo mengi ya kukuza uchumi na kuziba mianya inayochangia kupotea mapato ya Serikali, hivyo hakuna kitakachozuia Serikali...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dk.Faustine Ndugulile azindua mashindano ya Diwani Cup kata ya Kisarawe Two Manispaa ya Temeke jijini Dar

Mbunge wa Kigamboni, Dk.Faustine Ndugulile (wa pili kulia), akizungumza na wachezaji wa timu za Dubu na Tumaini (hawapo pichani), wakati akifungua mashindano ya  kombe la umoja na mshikamano maarufu kama Diwani Cup yaliyoanza uwanja wa Kibamande eneo la Mwasonga Manispaa ya Temeke Dar es Salaam jana. Kulia ni mlezi wa mashindano hayo,  Diwani wa Kata ya Kisarawe II,  Issa Zahoro.

Mlezi wa mashindano hayo Diwani wa Kata ya Kisarawe II,  Issa Zahoro, akikagua timu ya Dubu kutoka eneo la...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI MKOANI RUVUMA

 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mgombea udiwani wa Ukawa kata ya Tingi wilaya ya Nyasa, Bosco Mapunda alipowasili katika kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma kwa ajili ya mkutano wa kampeni kijijini hapo. (Picha na Francis Dande) Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na baadhi ya madiwani wa Ukawa wa Kata ya Tingi alipowasili katika kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma kwa ajili ya mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Nyasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani