MBUNGE WA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE KUFUNGUA MASHINDANO YA DIWANI CUP KATA YA KISARAWE TWO TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM
Diwani wa Kata ya Kisarawe Two, Issa Zahoro, akimkabidhi jezi na mpira Nahodha wa Timu ya Nyati, Saidi Momba kwa ajili ya mashindano hayo. Diwani wa Kata ya Kisarawe Two, Issa Zahoro (kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwakilishi wa Timu ya Soka ya Mwasonga, Saidi Simba Dar es Salaam leo asubuhi kwa ajili ya michuano ya Diwani Cup katika kata hiyo yenye kauli mbiu 'Umoja ni Mshikamano" yatakayoanza Jumamosi Juni 20 mwaka huu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo, Ayub Mkonde...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMBUNGE WA KIGAMBONI DK.FAUSTINE NDUGULILE AZINDUA MASHINDANO YA DIWANI CUP KATA YA KISARAWE TWO MANISPAA YA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Dk.Faustine Ndugulile azindua mashindano ya Diwani Cup kata ya Kisarawe Two Manispaa ya Temeke jijini Dar
Mbunge wa Kigamboni, Dk.Faustine Ndugulile (wa pili kulia), akizungumza na wachezaji wa timu za Dubu na Tumaini (hawapo pichani), wakati akifungua mashindano ya kombe la umoja na mshikamano maarufu kama Diwani Cup yaliyoanza uwanja wa Kibamande eneo la Mwasonga Manispaa ya Temeke Dar es Salaam jana. Kulia ni mlezi wa mashindano hayo, Diwani wa Kata ya Kisarawe II, Issa Zahoro.
Mlezi wa mashindano hayo Diwani wa Kata ya Kisarawe II, Issa Zahoro, akikagua timu ya Dubu kutoka eneo la...
10 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA DAR ES SALAAM
Dk. Faustine Ndugulile akizawadiwa sare ya kitenge na muweka hazina wa kikundi cha Jitegemee Vikoba Group Happiness mfinanga wakati walipokuwa wakipewa mchango wao wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge huyo wakati wa mkutano huo (kulia) ni Mwenyekiti Tungi Kata ya Kigamboni Joram Msuya.Wanachi wakiwa katika mkutano huo wakifatilia maongezi...
10 years ago
GPLMBUNGE WA JIMBO LA KIGAMBONI DK. FAUSTINE NDUGULILE MGENI RASMI MKUTANO WA HADHARA DAR
10 years ago
MichuziMbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua Kiota kipya Mji Mwema Kigamboni
Wadau mbalimbali wakijivinjari ndani ya kiota kipya cha Fursat Dhahabiyya Kilichopo Mji Mwema Kigamboni Mwonekano wa Ndani wa Kiota Hicho
10 years ago
VijimamboMbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua kipya Mji Mwema Kigamboni cha Fursat Dhahabiyya.
11 years ago
MichuziMashindano ya Diwani Cup kata ya Mutuka yazinduliwa huko Mkoani Manyara
Diwani wa Kata ya Mutuka Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Mwalimu Yona Wao amezindua mashindano ya soka kwenye kata yake itakayoshirikisha timu tano za vijiji vilivyopo...
11 years ago
GPLMBUNGE FAUSTINE NDUGULILE AKIKABIDHI TUZO KWA WASHINDI WA BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS DAR LIVE
10 years ago
MichuziMh. Faustine Ndugulile azungumza na Mabalozi wa CCM Kata ya Charambe leo