Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi ya Shule ya Mrisho Gambo Yazinduliwa Rasmi.

Na Ashura Mohamed-Arusha

Katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega amezindua bodi ya shule ya sekondari ya Mrisho Gambo iliyopo katika kata ya Olasiti Jijini Arusha.
Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo kwa niaba ya mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,Kwitega aliitaka bodi hiyo kuhakikisha kuwa inasimamia ubora wa elimu na kuhakikisha inafanya vizuri na kuwa ya mfano.
Pia alisema kuwa ujenzi wa shule hiyo ulitokana na kuongezeka kwa ufaulu katika mkoa wa Arusha hivyo kulazimika kutafuta namna ya ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MRISHO GAMBO ATOA ANYO KWA WAONGOZA UTALII JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, ametoa onyo kali kwa waongoza utalii wanaofanya shughuli zao Mkoani Arusha baada ya kuhusishwa na usambazaji wa video na picha zinazoonesha uharibifu wa miundombinu katika mamlaka ya eneo la hifadhi ya Ngorongoro.
Tamko hilo kali limekuja baada ya Gambo kutembelea eneo hilo na kujionea uharibifu wa barabara uliofanywa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.
 “Ni marufuku kwa mtu yoyote kusambaza taarifa yoyote kuhusu hifadhi...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA ,MRISHO GAMBO WILAYANI NGORONGORO


Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye Kiteule cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) 39 KJ -Kiteule cha Loliondo,kulia ni Mkuu wa Brigedi ya 303,Brigedia Omary Majani.
Kamishna wa uhifadhi wa Tanapa,Dk Allan Kijazi akipanda mti wa kumbukumbu baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika Kiteule cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Loliondo
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(kushoto) akimsikiliza Kapteni Fadhil Mbulu ambaye ni...

 

11 years ago

Michuzi

BODI MPYA YA BARAZA LA HABARI YAZINDULIWA

Jaji Kiongozi Shaban Ally Lila akihutubia katika uzinduzi wa Bodi mpya ya Baraza la Habari Tanzania kwa niaba ya Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman kwenye Hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam, Agosti 7,2014. Rais  wa Baraza la Habari aliyemaliza muda wake  Jaji Mstaafu Dk. Robert Kisanga  akihutubia katika uzinduzi wa Bodi mpya ya Baraza la Habari Tanzania ambapo alisisitiza umuhimu wa Baraza la habari na kutaka liungwe mkono kufanikisha malengo yake .Dar es Salaam, Agosti 7,2014. Katibu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bodi ya wadhamini ya Jumuiya ya Wastaafu Pemba yazinduliwa

DSC08969

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiizindua rasmi Bodi ya wadhamini ya Jumuiya ya Wafanyakazi Wastaafu Pemba ukumbi wa Tasaf uliopo Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Chake chake Pemba.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).

Wastaafu wa Taasisi za Umma za Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na zile za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wanapaswa  kushirikiana kwa karibu katika kutumia ujuzi na Taaluma zao za muda mrefu ndani ya Jumuiya wanaazozianzisha baada...

 

9 years ago

GPL

BODI YA WADHAMINI MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI YAZINDULIWA

Katibu Mkuuwa Wizaraya Kazina Ajira Bw. Eric Shitindi akitoa hotuba ya utangulizi juu ya Sheria Na. 20 ya Mwaka 2008 pamoja na uanzishwaji wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kulia kwake ni Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudentia Kabaka Waziri wa  Kazi na Ajira  Mhe. Gaudentia Kabaka akitoa hotuba kwa Wajumbe wa Bodiya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) pamoja na wageni waalikwa kabla ya kuzindua Bodi hiyo Rasmi. ...

 

11 years ago

Michuzi

BODI MPYA YA KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo na Mwenyekiti mpya wa bodi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (wa pili kushoto) wakati alipozindua bodi mpya ya kituo hicho Jumatatu wiki hii jijini Dar es Salaam. Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Bi. Juliet kairuki (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bw. Raymond Mushi (kushoto).  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo...

 

11 years ago

GPL

AZAM TV YAZINDULIWA RASMI

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa (kushoto) akifungua rasmi Azam Tv  mbele ya Mtendaji Mkuu wa Azam Media Rhys Torrington.
Mmoja wa watoa huduma kwa wateja akiwa tayari kuwahudumia wateja.…

 

9 years ago

Michuzi

DAWASCO SACCOS YAZINDULIWA RASMI

 SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO), imezindua rasmi mfuko wa akiba na mikopo (Saccos) kwaajili ya wafanyakazi wa shirika hilo katika harakati za kujikomboa kiuchumi na kuimarisha umoja miongoni mwao.
Akiongea na wafanyakazi katika uzinduzi huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Mhandisi Cyprian Luhemeja amewahimiza wafanyakazi kuitumia Saccos hiyo kujikomboa kiuchumi na kuondokana na utozwaji mkubwa wa riba kutoka kwa baadhi ya taasisi za fedha, hali inayowaumiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani