Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi ya wadhamini ya Jumuiya ya Wastaafu Pemba yazinduliwa

DSC08969

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiizindua rasmi Bodi ya wadhamini ya Jumuiya ya Wafanyakazi Wastaafu Pemba ukumbi wa Tasaf uliopo Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Chake chake Pemba.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).

Wastaafu wa Taasisi za Umma za Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na zile za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wanapaswa  kushirikiana kwa karibu katika kutumia ujuzi na Taaluma zao za muda mrefu ndani ya Jumuiya wanaazozianzisha baada...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

BODI YA WADHAMINI MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI YAZINDULIWA

Katibu Mkuuwa Wizaraya Kazina Ajira Bw. Eric Shitindi akitoa hotuba ya utangulizi juu ya Sheria Na. 20 ya Mwaka 2008 pamoja na uanzishwaji wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kulia kwake ni Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudentia Kabaka Waziri wa  Kazi na Ajira  Mhe. Gaudentia Kabaka akitoa hotuba kwa Wajumbe wa Bodiya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) pamoja na wageni waalikwa kabla ya kuzindua Bodi hiyo Rasmi. ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya Qamer ya Canada pamoja na Jumuiya ya Taqwa Tanzania yatoa misaada Pemba

pembaVitanda mbali mbali vya Hospitali vilivyotolewa na Jumuiya ya Qamer Foundation ya nchini Canada, ikishirikiana na Jumuiya ya TAQWA Tanzania, kwa ajili ya Hospitali Kisiwani Pemba kabla ya kukabidhiwa kwa uongozi wa Wizara ya Afya Pemba.(Picha zote na Hanifa Salum, PEMBA.)

pembawMaboksi mbali mbali yenye madawa kwa ajili ya Hospitali pamoja na mikoba ya Watoto mayatima, vilivyotolewa na Jumuiya ya Qamer Foundation ya nchini Canada, ikishirikiana na Jumuiya ya TAQWA Tanzania, mikoba kwa aajili ya...

 

11 years ago

Michuzi

Wastaafu Loan Yazinduliwa jijini Dar

Katibu Mkuu Kionmgozi (Mstaafu), Philemon Luhanjo (Wapili kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayigu(Wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, (TPB), Sabasaba Moshingi), Wakwanza kulia) na Mstaafu Eunice Temu, wakiwa wamenyanyua juu mikono kuashiria uzinduzi wa mpango wa mfuko huo kuwakopesha wastaafu amabao ni wanachama wake kupitia benki ya Posta "Wastaafu Loan",. Hafla ya uzinduzi huo ulifantyika jijini Dar es Salaam jana. Katibu Mkuu Kiongozi...

 

9 years ago

Vijimambo

Hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa ZSTC, Chakechake, Pemba

MKURUGENZI Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar ZSTC, Mwanahija Almasi Ali, akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa shirika hilo Pemba, sambamba na Waziri na Naibu waziri wa Wizara ya Biashara na Viwanda na Masoko kuagana na wafanyakazi hao, hafla hiyo ilifanyika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba). MWENYEKITI wa Bodi ya ZSTC, Zanzibar Kassim Maalimu Suleiman akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI AMINA SAUM ALI ATUA PEMBA KUTAFUTA WADHAMINI

BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa Afrika nchini Marekani  Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na chama chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo tofauti, kwenye uwanja wa ndege wa Pemba, alipowasili kisiwani humo kwa ajili ya kusaka wadhamini.BALOZI wa kudumu kwenye baraza la  umoja wa Afrika nchini Marekani Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba...

 

10 years ago

Michuzi

REDIO YA JAMII MKOANI YAZINDULIWA KUSINI PEMBA

DSC_0011
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (mwenye koti la suti) akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba kwa ajili kuhuduria sherehe za uzinduzi wa Redio Jamii Mkoani jimbo la Mkanyageni, Kusini Pemba na kupokelewa na Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin Yusuph (kulia) aliyeambatana na Mshauri na Mkufunzi kutoka...

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA BODI YA WADHAMINI YA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

 TAREHE 04 – 09 – 2015 UKUMBI WA MIKUTANO WIZARA YA KAZI NA AJIRA
WCF ni Taasisi ya Serikali  chini ya Wizara ya Kazi na Ajira iliyoundwa kwa Mujibu wa Kifungu cha 5 cha Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi Na. 20 ya mwaka 2008 ili kushughulikia masuala ya fidia kwa Wafanyakazi waliopo katika Sekta ya Umma na Binafsi Tanzania Bara ambao wataumia, kuugua au kufariki dunia wakiwa katika utekelezaji wa majukumu ya Mwajiri.
Mfuko wa Fidia kwa...

 

11 years ago

Michuzi

BODI MPYA YA BARAZA LA HABARI YAZINDULIWA

Jaji Kiongozi Shaban Ally Lila akihutubia katika uzinduzi wa Bodi mpya ya Baraza la Habari Tanzania kwa niaba ya Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman kwenye Hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam, Agosti 7,2014. Rais  wa Baraza la Habari aliyemaliza muda wake  Jaji Mstaafu Dk. Robert Kisanga  akihutubia katika uzinduzi wa Bodi mpya ya Baraza la Habari Tanzania ambapo alisisitiza umuhimu wa Baraza la habari na kutaka liungwe mkono kufanikisha malengo yake .Dar es Salaam, Agosti 7,2014. Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani