Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI AMINA SAUM ALI ATUA PEMBA KUTAFUTA WADHAMINI

BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa Afrika nchini Marekani  Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na chama chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo tofauti, kwenye uwanja wa ndege wa Pemba, alipowasili kisiwani humo kwa ajili ya kusaka wadhamini.BALOZI wa kudumu kwenye baraza la  umoja wa Afrika nchini Marekani Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Historia ya Balozi Amina Salum Ali wa CCM

Chama tawala nchini Tanzania CCM kimemteua bi Amina Salum Ali kuwa mgombea mwenza wa daktari John Pombe Magufuli

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI AMINA SALUM ALI ATANGAZA KUWANIA URAIS


BALOZI wa kudumu wa Umoja wa Afrika (AU), huko Marekani, Mtanzania Amina Salum Ali, (Pichani) akitangazaleo Jumatano Mei 20, 2015, pale kwenye mgahawa wa Hadees jirani na askari monument, kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Balozi Amina ametangaza uamuzi wake huo mapema leo hapa hapa jijini Dar es Salaam.Itakumbukwa ya kuwa Balozi Amina ambaye alidumu kwa muda mrefu kama waziri kwenye serikali ya Rais mstaafu wa...

 

9 years ago

Vijimambo

AFRICA UNION WAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI, WASHINGTON, DC

Blaozi wa Umoja wa Afrika Mhe. Amina Salum Ali akiwahutubia wafanyakazi na wageni waalikwa waliofika kwenye ghafla ya kuagwa kwake iliyofanyika siku ya Jumatatu, Aug 31, 2015 Washington, DC. Diaspora wakipata picha ya kumbukumbu na Balozi Amina Salum Ali. Mhe. Tete Antoni Balozi wa Umoja wa Afrika New York akitoa hotuba yake ya kumuaga Balozi Amina Salum Ali ambaye amemaliza muda wake kama Balozi wa Umoja wa Afrika Washington, DC.Picha ya pamoja
 Baadhi ya wafanyakazi wa Umoja wa Afrika...

 

9 years ago

Vijimambo

DIASPORA YA MONTGOMERY COUNTY YAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI


 Bwn. Daniel Korona akisherehesha hafla futi ya kumuaga Balozi wa Umoja wa Afrika aliyemaliza muda wake Mhe. Amina Salum Ali iliyoandaliwa na Jumuiya ya Diaspora kutoka Afrika wanaoishi Montgomery county iliyofanyika siku ya Jumatano Sept 2, 2015 Silver Spring, Maryland.Kulia ni mwongozaji maswali Bi. Soffie Ceesay ambaye ni mwanachama mwanzilishi wa Montgomery County's African Affairs Advisory Group na African Immigrant Caucus akimuuliza Mhe. Amina Salum Ali maswali mbalimbali likiwemo nini...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI AMINA SALUM ALI AHUTUBIA MKUTANO WA AFRICANA CONFERENCE MASSACHUSETTS

Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali (pichani) akihutubia katika mkutano wa Africana conference ' unaofanywa kila mwaka na TUFTS University (Fletcher college) .Hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo uliobeba ujumbe wa 'Africa in the global Arena'.Balozi Amina S alum Ali alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano huu tarehe 20 mwezi wa Februari 2015 huko Boston Massachussets.
katika hotuba yake alichukua nafasi kuzungumzia masuala ya Afrika na umuhimu wa bara la Afrika kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu

Mwanadiplomasia Amina Salum Ali alitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mei 21 jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MAREKANI YAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI

 Wafanyakazi wa Umoja wa Afrika Washington, DC wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Amina Salum Ali, Balozi wa Afrika Union aliyemaliza muda wake siku ya Jumanne Sept 1, 2015 katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani zilizopo DC kwenye hafla fupi ya kumuaga aliyofanyiwa na Wizara hiyo. Duputy Assistant Secretary wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani  akiongea na kumwagia sifa Balozi Amina Salum Ali. Balozi Amina Salum Ali akiwashukuru Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwa...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AAHIDI KUTAFUTA MBINU ZA KUTATUA CHANGAMOTO

  Mwakilishi wa Wananchi wa Shehia ya Kilimani Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwasilisha changamoto zinazowakabili wananachi wa Kijiji hicho mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hayupo pichani aliyefika kuitika wito waliomuagiza. Baadhi ya Wananchi wa  Kijiji cha Kilimani Kidoti wakisikiliza nasaha za Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  baada ya kumueleza changamoto wanazopambana nazo kijijini pao. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali...

 

10 years ago

Vijimambo

Mahojiano na Balozi Amina Salum Ali kwenye kipindi cha JUKWAA LANGU

Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifafanua jambo ndani ya Kilimanjaro StudioKipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
Katika kipindi cha wiki hii tumebahatika kuungana na Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali
Karibu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani