BODI MPYA YA BARAZA LA HABARI YAZINDULIWA
Jaji Kiongozi Shaban Ally Lila akihutubia katika uzinduzi wa Bodi mpya ya Baraza la Habari Tanzania kwa niaba ya Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman kwenye Hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam, Agosti 7,2014. Rais wa Baraza la Habari aliyemaliza muda wake Jaji Mstaafu Dk. Robert Kisanga akihutubia katika uzinduzi wa Bodi mpya ya Baraza la Habari Tanzania ambapo alisisitiza umuhimu wa Baraza la habari na kutaka liungwe mkono kufanikisha malengo yake .Dar es Salaam, Agosti 7,2014. Katibu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBODI MPYA YA KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) YAZINDULIWA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziProfesa Salome B. Misana Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC)
Wakati huo huo , Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira, Dkt. Binilith Mahenge amewateua Wajumbe wa Bodi hiyo . Walioteuliwa ni Profesa Reuben...
10 years ago
Dewji Blog07 Jan
Bodi ya wadhamini ya Jumuiya ya Wastaafu Pemba yazinduliwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiizindua rasmi Bodi ya wadhamini ya Jumuiya ya Wafanyakazi Wastaafu Pemba ukumbi wa Tasaf uliopo Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Chake chake Pemba.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).
Wastaafu wa Taasisi za Umma za Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na zile za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wanapaswa kushirikiana kwa karibu katika kutumia ujuzi na Taaluma zao za muda mrefu ndani ya Jumuiya wanaazozianzisha baada...
5 years ago
MichuziBodi ya Shule ya Mrisho Gambo Yazinduliwa Rasmi.
Katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega amezindua bodi ya shule ya sekondari ya Mrisho Gambo iliyopo katika kata ya Olasiti Jijini Arusha.
Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo kwa niaba ya mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,Kwitega aliitaka bodi hiyo kuhakikisha kuwa inasimamia ubora wa elimu na kuhakikisha inafanya vizuri na kuwa ya mfano.
Pia alisema kuwa ujenzi wa shule hiyo ulitokana na kuongezeka kwa ufaulu katika mkoa wa Arusha hivyo kulazimika kutafuta namna ya ...
9 years ago
GPLBODI YA WADHAMINI MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI YAZINDULIWA
11 years ago
MichuziMkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari
9 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziBARAZA LA TAIFA LA UJENZI KATIKA MKUTANO WA 13 WA BODI YA USAJIRI YA WAHANDISI TANZANIA