Hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa ZSTC, Chakechake, Pemba
MKURUGENZI Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar ZSTC, Mwanahija Almasi Ali, akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa shirika hilo Pemba, sambamba na Waziri na Naibu waziri wa Wizara ya Biashara na Viwanda na Masoko kuagana na wafanyakazi hao, hafla hiyo ilifanyika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa Bodi ya ZSTC, Zanzibar Kassim Maalimu Suleiman akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMkutano wa vyama vinavyounda UKAWA Wawi, Chakechake Pemba
9 years ago
VijimamboUzinduzi wa Kampeni za CCM Uwanja wa Gombani ya Kale ChakeChake Pemba Dk Shein.
10 years ago
MichuziHanding Over Ceremony at Michakaini „A‟ Primary School in Chakechake Town, South Pemba Region
On 5th June, 2015, the handing-over ceremony for “The Project for Reconstruction of a Two-storey Classroom Block at Michakaini „A‟ Primary School in Chakechake Town, South Pemba Region (JFY2013)” was held at Michakaini A Primary School.
The Government of Japan, in...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Ilikuwa hafla ya ghafla kwa ajili ya wasanii kuwaaga wasanii wakongwe
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Yoxb_aT2G2g/U_CZS74XDhI/AAAAAAAGALQ/1H1BN-u3tQI/s72-c/504.jpg)
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar mgeni rasmi kwenye hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro
Mama Asha Suleiman Iddi alisema hayo wakati wa hafla maalum ya kuagana kwa wana jumuiya ya wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro wa ZAMUMSA ambao wanatarajiwa kumaliza mafunzo yao mwezi Novemba mwaka huu...
10 years ago
Vijimambo24 Jul
MHE. BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE WAISHIO MAREKANI KATIKA HAFLA YA KUWAAGA ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 25 JULAI 2015.
![](http://vip-adventuretours.com/german/files/2012/08/Tansania-Emblem.png)
The Ambassador of the United Republic of Tanzania
to the United States of America
H.E. Ambassador Liberata Mulamula
has the pleasure to cordially invite you
to a Barbeque Farewell
Saturday, July 25th 2015
from Three - Seven in the evening (3:00 – 7:00pm)
at
Ambassador’s Residence
1 Highboro Court
Bethesda, MD...
10 years ago
Dewji Blog07 Jan
Bodi ya wadhamini ya Jumuiya ya Wastaafu Pemba yazinduliwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiizindua rasmi Bodi ya wadhamini ya Jumuiya ya Wafanyakazi Wastaafu Pemba ukumbi wa Tasaf uliopo Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Chake chake Pemba.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).
Wastaafu wa Taasisi za Umma za Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na zile za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wanapaswa kushirikiana kwa karibu katika kutumia ujuzi na Taaluma zao za muda mrefu ndani ya Jumuiya wanaazozianzisha baada...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-X5SfRv2ZAT4/VjX_CZbP9rI/AAAAAAAID1k/wH98chmlhKE/s72-c/unnamed%2B%252820%2529.jpg)
JUMUIYA YA WAZEE WASTAAFU, WAKULIMA NA WAFANYAKAZI ZANZIBAR WATOA TAMKO JUU YA HALI ILIOPO VISIWAMI
![](http://2.bp.blogspot.com/-X5SfRv2ZAT4/VjX_CZbP9rI/AAAAAAAID1k/wH98chmlhKE/s640/unnamed%2B%252820%2529.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Wakulima uzeni karafuu ZSTC
ZANZIBAR ina visiwa vya Unguja na Pemba. Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi, ufugaji na wengine wamejielekeza katika kilimo cha karafuu. Karafuu ambayo ni muhimu katika kukuza uchumi, hivi sasa imepanda...