Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano wa vyama vinavyounda UKAWA Wawi, Chakechake Pemba

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF Mhe: Maalim Seif Sharif Hamad akivishwa koja, kabla ya kuzungumza na mamia ya wanachama wa vyama vinavyounda UKAWA, uliofanyika Ditia Jimbo la Wawi wilaya ya Chake chake Pemba.MJUMBE wa baraza kuu taifa la chama cha CHADEMA Janeth Madadi Fussi, akitoa salamu zake kwa mamia ya wanachama wa vyama vinavyounda UKAWA, kwenye mkutano uliofanyika Ditia, Jimbo la Wawi wilaya ya Chake chake Pemba, na kuhutubiwa na mgombea urais wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA WAWI CUF VISIWANI PEMBA AJIUNGA NA CCM



Akiwa katika ziara ya kukagua na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 – 2020 Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole Katibu Mwenezi wa CCM Taifa amepokea maombi ya Mbunge wa Jimbo la Wawi kwa tiketi ya CUF kuomba kujiunga na CCM.

Hatua hiyo imekuja baada ya Ndugu Ahmed Juma Ngwali kuusimamisha msafara wa Ndugu Polepole, kuomba kujiunga na CCM na kutangaza kujivua nafasi zake zote ndani ya Chama cha CUF.

 

9 years ago

Vijimambo

Hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa ZSTC, Chakechake, Pemba

MKURUGENZI Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar ZSTC, Mwanahija Almasi Ali, akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa shirika hilo Pemba, sambamba na Waziri na Naibu waziri wa Wizara ya Biashara na Viwanda na Masoko kuagana na wafanyakazi hao, hafla hiyo ilifanyika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba). MWENYEKITI wa Bodi ya ZSTC, Zanzibar Kassim Maalimu Suleiman akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa...

 

9 years ago

Vijimambo

Uzinduzi wa Kampeni za CCM Uwanja wa Gombani ya Kale ChakeChake Pemba Dk Shein.

Rais wa Baraza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Gombani ya Kale Chakechake Pemba kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni ya Urais Kisiwani Pemba, ufunguzi huo umefanyika leo jioni.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia CCM akiwa na Viongozi wa CCM baada ya kuwasili katika viwanja vya Gombani ya Kale...

 

10 years ago

Michuzi

Handing Over Ceremony at Michakaini „A‟ Primary School in Chakechake Town, South Pemba Region

The Government of Japan has been extending support to local communities in various sectors including health, education and water supply under the Grant Assistance for Grassroots Human Security Projects (GGHSP) scheme since 1991.
On 5th June, 2015, the handing-over ceremony for “The Project for Reconstruction of a Two-storey Classroom Block at Michakaini „A‟ Primary School in Chakechake Town, South Pemba Region (JFY2013)” was held at Michakaini A Primary School.
The Government of Japan, in...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015.

Katika kampeni za uchaguzi mkuu wa October 2015, Mh. Seif Sharif Hamad aliombea wagombea zake kura za ndio wakiwemo wabunge, madiwani na wawakilishi wa Jibo la Ole, Pia Muheshimiwa alimuombea kura ndugu Edward Lowasa. Katika Sera […]

The post Muhtasari wa Sera za Ukawa kupitia chama chama cha wananchi wa C.U.F katika mkutano ulofanyiaka, Kipangani Ole Pemba, tarehe 16/09/2015. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA KISIWANI PEMBA

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha akifungua mkutano wa wadau wa Uchaguzi na viongozi wa vyama vya siasa Kisiwani Pemba,pembeni yake ni baadhi ya makamishna wa Tume hiyo.Mkuu wa Wilaya ya Mkoani katikati Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, akiwa na makatibu tawala wa Mkoa na Wilaya za Pemba, wakifuatia hutuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim ambaye hayupo pichani, wakati akifungua mkutano wa wadau wa Uchaguzi.
MWENYEKITI wa Chama cha AFP Taifa Said Soud...

 

11 years ago

Michuzi

UKAWA waendelea na Kampeni yao Pemba

Kiongozi wa UKAWA Freeman Mbowe, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Gombani ya Kale, Chake Chake Pemba. Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa CCM kisiwani pemba

 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Kisiwani Pemba leo
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Katiba Iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba zungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika Uwanja wa Gombani ya Kale Kisiwani Pemba leo.(Picha...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AENDESHA MKUTANO GOMBANI, PEMBA

Mgombe Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufulu akizumgumza na Wananchi na WanaCCM wa Kisiwani Pemba jana katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Gombani ya kale Wilkaya ya Chake chake Pemba. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wanachama wa CCM na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani