SEHEMU YA VIDEO YA MRISHO GAMBO ALIPOHUTUBIA KWENYE MKUTANO WA KINANA KOROGWE
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboKINANA AITEKA KOROGWE AFANYA MKUTANO WA AINA YAKE
Ashiriki kuchavanga kwenye shamba la Skimu ya MahengeNape awafungua vijana kuhusu siasa zisizo na tija Mrisho Gambo awa shujaa kwa kusema ukweli kwenye kila hoja iliyoletwa na wananchi wa Korogwe. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.
Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.
Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.
5 years ago
MichuziBodi ya Shule ya Mrisho Gambo Yazinduliwa Rasmi.
Na Ashura Mohamed-Arusha
Katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega amezindua bodi ya shule ya sekondari ya Mrisho Gambo iliyopo katika kata ya Olasiti Jijini Arusha.
Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo kwa niaba ya mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,Kwitega aliitaka bodi hiyo kuhakikisha kuwa inasimamia ubora wa elimu na kuhakikisha inafanya vizuri na kuwa ya mfano.
Pia alisema kuwa ujenzi wa shule hiyo ulitokana na kuongezeka kwa ufaulu katika mkoa wa Arusha hivyo kulazimika kutafuta namna ya ...

MichuziMRISHO GAMBO ATOA ANYO KWA WAONGOZA UTALII JIJINI ARUSHA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, ametoa onyo kali kwa waongoza utalii wanaofanya shughuli zao Mkoani Arusha baada ya kuhusishwa na usambazaji wa video na picha zinazoonesha uharibifu wa miundombinu katika mamlaka ya eneo la hifadhi ya Ngorongoro.
Tamko hilo kali limekuja baada ya Gambo kutembelea eneo hilo na kujionea uharibifu wa barabara uliofanywa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.
“Ni marufuku kwa mtu yoyote kusambaza taarifa yoyote kuhusu hifadhi...

Vijimambo5 years ago
MichuziMATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA ,MRISHO GAMBO WILAYANI NGORONGORO
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye Kiteule cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) 39 KJ -Kiteule cha Loliondo,kulia ni Mkuu wa Brigedi ya 303,Brigedia Omary Majani.
Kamishna wa uhifadhi wa Tanapa,Dk Allan Kijazi akipanda mti wa kumbukumbu baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika Kiteule cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Loliondo
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(kushoto) akimsikiliza Kapteni Fadhil Mbulu ambaye ni...
10 years ago
Michuzi10 years ago
VijimamboAngalia Video za maswali na majibu za mkutano wa Mhe. Jussa, Sehemu ya kwanza hadi ya Tisa
Muwakilishi wa Jimbo la Stone, Town, Zanzibar Mhe. Ismail Jussa kupitia chama cha wanainchi CUF ambae pia mjumbe wa UKAWA aliweza kuongea na waTanzania waishio. (DMV) na kumuuliza maswali mbali mbali kuhusu mustakabali wa nchi yetu, Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015.
Kwa video zaidi bofya soma zaidi
Kwa video zaidi bofya soma zaidi
10 years ago
Uhuru NewspaperDK. SHENI ALIPOHUTUBIA MKUTANO WA CCM ZANZIBAR
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), akionyesha rasimu ya Katiba iliyowaslishwa katika Bunge Maalum la Katiba, juzi alipohutubia mkutano wa hadhara wa CCM, Zanzibar.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10