Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINANA AITEKA KOROGWE AFANYA MKUTANO WA AINA YAKE

Ashiriki kuchavanga kwenye shamba la Skimu ya MahengeNape awafungua vijana kuhusu siasa zisizo na tija Mrisho Gambo awa shujaa kwa kusema ukweli kwenye kila hoja iliyoletwa na wananchi wa Korogwe. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.
 Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kinana Katibu Mkuu wa aina yake-Lowassa


MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amesema uongozi wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, ni wa aina yake na ambao haujapata kutokea.
Alisema kasi hiyo haijawahi kutokea kwa makatibu wakuu waliopita na hivyo kummwagia sifa Kinana kwa kazi nzuri anayoifanya ya kukitumia Chama.
Lowassa alisema hayo juzi alipokuwa akitoa salamu za jimbo hilo mara baada ya kuwasili kwa Kinana na ujumbe wake katika Kijiji cha Oloksale.
Alisema endapo wabunge wote wa CCM wangetekeleza Ilani ya Chama hakungekuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANDIKA HISTORIA TANGA AFANYA MKUTANO KUBWA ULIOJAA KULIKO KAWAIDA


Awaambia wana Tanga uchumi wao upo kwenye bandari na treniAsisitiza kuwajibika kwa viongozi walioshindwa kutimiza malengo yaoAwataka wananchi kuchagua viongozi bora ambao wataheshimu mawazo yao kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliofika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Tangamano kata ya Tangamano wilaya ya Tanga mjini.
 Wananchi wakiwa na bango lao kwenye mkutano wa hadhara wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata  Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini  wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AFANYA ZIARA WILAYA MPYA YA MKALAMA,KUUNGURUMA LEO LIVE STAR TV MKUTANO WA HADHARA MJINI SINGIDA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na Msafara wake wakielekea kukagua mradi wa ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti linalounganisha wilaya za Meatu mkoani Simiyu na Mkalama, Singida wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Kinana leo na viongozi mbalimbali wa chama hicho...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Jimbo la Singida Mjini haijawahi kutokea, waingia kwa staili ya aina yake wakitumia Bodaboda na Bajaji

DSC_0204

Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), Naibu Waziri wa Fedha ambaye pia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mh. Mwigulu Nchemba wakiwa kwenye boda boda, wakati wa msafara wa kuelekea kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika eneo la viwanja vya People’s Club mjini Singida.

DSC_0232

Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana , sambamba na Katibu wa Itikadi na  Uenezi Nape Nnauye,wakiwasili kwenye viwanja vya People’s Club kwenye mkutano wa hadhara kwa staili ya aina yake kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AITEKA CHEMBA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulraman Kinana akihutubia wakazi wa Itolwa wilayani Chemba mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara zake za kujenga na kuimarisha chama pamoja na kukagua ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2010.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam Kimbisa akiwahutubia wakazi wa Itolwa ambapo aliwaambia kuwa katika chaguzi za mwaka huu hatokata jina la chaguo la watu.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Itolwa wilaya ya Chemba mkoani Dodoma...

 

11 years ago

Michuzi

kinana aiteka tabora leo

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Stendi ya zamani mjini Tabora, ukiwa ni wakuhitimisha ziara yake ya siku 11 mkoani Tabora. 
 Kinana akihudumiwa na Mama Lishe alipokwenda kula yeye na msafara wake kwa akina mama lishe eneo la Stendi Mpya Tabora mjini kabla ya kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Munde Tambwe.  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AITEKA CHALINZE PWANI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi baiskeli kwa Makatibu Kata. Katibu Mkuu wa CCm Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali ya ujenzi wa ofisi za CCM kata ya Kiwangwa. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi wa kata ya Miono Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa kata ya Miono ambapo aliwaambia wawe makini katika kuchagua viongozi wa kijiji ili kuepusha migongano na migogoro ya ardhi zinazodaiwa kuuzwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani