DK. SHENI ALIPOHUTUBIA MKUTANO WA CCM ZANZIBAR
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), akionyesha rasimu ya Katiba iliyowaslishwa katika Bunge Maalum la Katiba, juzi alipohutubia mkutano wa hadhara wa CCM, Zanzibar.
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi Zanzibar
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya mkutano Bungi akiwapungia mkono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai . Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein. uliofanyika katika viwanja vya bungi.Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,...
11 years ago
Michuzi05 May
10 years ago
Vijimambo28 Sep
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA CCM KIBANDAMAITI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM ZanzibarDk.ALi Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na WanaCCM Kibandamaiti katika mkutano wa Hadhara uliofanyika jana.uasisi wa mapinduzi ya Zanzibar na mwana CCM MzeeHamid Ameir alipokuwa akitoa salama za chama kwa Wananchi na WanaCCM Kibandamaiti katika mkutano wa Hadhara uliofanyika leo na kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM ZanzibarDk.ALi...
10 years ago
Vijimambo25 Oct
9 years ago
VijimamboDK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA SHIRIKISHO LA VYUO VIKUU ZANZIBAR KUPITIA CCM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wasomi wa Vyuo Vikuu Zanzibar kupitia CCM Khamis Ali Ameir alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar kuzungumza na Shirikisho hilo leo,(Picha na Ikulu) Viongozi wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Taifa CCM wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM...
9 years ago
GPLMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM DK SHEIN AFUNGA MKUTANO WAKE WA KAMPENI KISIWANI PEMBA
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi kisiwanin Pemba katika mkutano wake wa kampeni ya ufungaji uliofanyika katika viwanja vya mpira vya Gombani ya Kale Chakechake Pemba. Mgombea Urais wa Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi katika viwanja vya Gombani ya...
9 years ago
MichuziDKT SHEIN AONGOZA MKUTANO WA SIKU MOJA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR(NEC)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama wakati alipowasili Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar leo Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR. YAPITISHA JINA LA DK SHEIN KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandua kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein,MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana kupitisha Jina la Mgombea wa Urais wa Zanzibar.VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa wamesimama baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano.NAIBU Katibu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania