AS Cannes yalia Kapombe kuzuiwa na Azam FC
![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb0f*bLQR8y2Ao2P8cUdm7lPigepXNzJ5AKwe30jY2xHNK42wGABiBVFmNt4KrHnGWtVrJsyQCbmxWkIdsrsraGB/AZAM.gif?width=650)
Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa. Na Martha Mboma KLABU ya AS Cannes ya Ufaransa imelalamika kwamba beki wake Shomari Kapombe amekuwa akishawishiwa kuvunja mkataba na klabu ya Azam ya nchini. AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne Ufaransa, imesema Kapombe ameshindwa kurejea nchini humo huku akisisitiza anataka kuvunja mkataba na wao wanaamini hiyo ni janja ya Azam FC. Ofisa wao ambaye hujitambulisha kwa jina la Pierre...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Msola: Kapombe hajakosea Azam
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj3es23XbS7*OlceTWAgo*a9im3pZWnHT-lZYresjt1g13GXdpBpGkk6kTLgj3GLkNmR9VUbYncIv3Tgz61tJmrR/AZAM2.jpg?width=650)
Azam yamtangaza rasmi Kapombe
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Kapombe, Leonel waiua Azam Kagame
![Kikosi cha Azam](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Kikosi-cha-Azam.jpg)
Kikosi cha Azam
NA ZAITUNI KIBWANA, RWANDA
TIMU ya Azam FC jana imeaga Michuano ya Kombe la Kagame, baada ya kutolewa kwa mikwaju ya penalti 4-3 na timu ya El- Merreikh ya Sudan, katika mchezo wa robo fainali uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Nyamirambo, mjini hapa.
Mchezo huo ulifikia kuamuliwa kwa penalti baada ya timu hizo kwenda sare ya kutofungana ndani ya dakika tisini.
Wachezaji wa Azam waliopata penalti ni, Aggrey Morris, Didier Kavumbagu na Erasto Nyoni, huku Shomar Kapombe akipaisha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TYrvltUmOUgK4dzuBEoNi3vrOvmYM5-4xVlG8k9Lc36*SilZsMf*4g7mV47PxX3F78QLjAcytKmi3ciEyrTcMDt/kapombe.jpg?width=650)
Kapombe rasmi Azam, apewa jezi namba 33
9 years ago
BBC12 Sep
First night nerves in Ethiopia after Cannes success
5 years ago
BBC News07 Mar
Northampton Film Festival aims to 'take on heavyweight Cannes'
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/46F8/production/_85986181_83143899.jpg)
VIDEO: Actors discuss Cannes success of Lamb
5 years ago
The Guardian20 Mar
Spike Lee, Cannes jury president, on postponement: 'Everybody has to pray'
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKto75Soh3cdMRjM10Cpyz6ZOkEudx7nUn1aoA6tkOnaxOTLJOMbufl-1Yq-IOzDwfLqrkkRX*XXh012ykPkOgdUE/Kapombe.jpg?width=650)
Kapombe wa Yanga