Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ALIPOZINDUA RASMI AZAM TV

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA RAIS KIKWETE ALIPOZINDUA RASMI AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara pamoja na uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza rasmi kuzinduliwa kwa studio mpya za stesheni ya Azam TV Tabata Relini jijini Dar es salaam leo Machi 6, 2015. Pamoja naye kwenye kilinge cha utangazaji...

 

11 years ago

Michuzi

JK alipozindua rasmi mpango wa WESTADI nchini Uingereza

Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza ukishirikiana na Urban Pulse Creative Media wanakuletea ziara ya Rais Jakaya Kikwete London Tarehe 30.3.1 alipozindua rasmi mpango wa Westadi kutoka shirika la NSSF

 

11 years ago

GPL

AZAM TV YAZINDULIWA RASMI

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Yusuf Bakhresa (kushoto) akifungua rasmi Azam Tv  mbele ya Mtendaji Mkuu wa Azam Media Rhys Torrington.
Mmoja wa watoa huduma kwa wateja akiwa tayari kuwahudumia wateja.…

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yamkaribisha Magufuli rasmi

Azam imefanikiwa kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu na kumkaribisha rasmi Ikulu rais mteule wa Tanzania, Dk John Magufuli.

 

11 years ago

GPL

Azam yamtangaza rasmi Kapombe

Kiungo wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe. Na Martha Mboma
KLABU ya Azam, jana ilimtangaza rasmi kiungo wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe kuwa msimu ujao atavaa jezi zao.
Kapombe aliondoka Simba na kujiunga na timu ya Daraja la Nne ya Ufaransa, As Cannes, lakini mwishoni mwa mwaka jana alitua nchini kuichezea Taifa Stars, kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe na kugoma kurudi tena Ufaransa. Kapombe alizungumza mambo...

 

10 years ago

GPL

CHARLES HILLARY ATUA RASMI AZAM TV

Mtangazaji Charles Hillary akiwa ndani ya studio za Azam TV. MTANGAZAJI mahiri Charles Hillary aliyekuwa Shirika la Habari la BBC jijini London leo ametua rasmi katika kituo cha Television cha Azam TV kuungana na watangazaji wenzake.
Katika tasnia ya habari, Charles Hillary amefanya kazi ya utangazaji kuanzia mwaka 1980 hadi mwaka 1993 akiwa Radio Tanzania Dar es Salaam.
Mwaka 1994 alijiunga na Radio One ikiwa ni radio ya...

 

10 years ago

GPL

KIKWETE AZINDUA RASMI KITUO CHA AZAM TV

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya uzinduzi huo, tayari kwa matumizi.   Rais Kikwete akitoa hotuba…

 

11 years ago

GPL

Kapombe rasmi Azam, apewa jezi namba 33

Shomari Kapombe. Hans Mloli na Musa Mateja
KIUNGO kiraka Shomari Kapombe, sasa mambo safi na amekamilisha kila kitu kurejea kucheza soka nchini na tayari amemalizana na klabu ya Azam FC na amekabidhiwa jezi yake kabisa. Imefahamika kuwa Kapombe amekubali kujiunga na Azam kutokana na kutokuwa katika maelewano mazuri na AS Cannes aliyojiunga nayo akitokea Simba, mwaka jana. Habari za uhakika, asilimia mia, Kapombe ameishavunja...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete mgeni rasmi uzinduzi wa studio ya Azam Tv

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete leo atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa studio ya kisasa ya Azam Tv itakayojulikana kama Uhai Production iliyopo eneo la Tabata kando ya barabara ya Mandela.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani