Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kapombe: Naumwa, nipo tu nyumbani Moro

Beki aliyekuwa akikipiga AS Cannes ya Ufaransa, Shomari Kapombe. Na Martha Mboma
BEKI aliyekuwa akikipiga AS Cannes ya Ufaransa, Shomari Kapombe, amesema ameshindwa kufanya mazoezi kwa kuwa amekuwa akisumbuliwa na malaria mara kwa mara. Awali beki huyo alikuwa akicheza Simba na alikwenda kuichezea AS Cannes lakini amesema kwa sasa anatumia muda wake mwingi akiwa Morogoro akijiuguza. Akizungumza na Championi Ijumaa, beki huyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kapombe: Bado nipo nipo kwanza

ALIYEKUWA beki wa timu ya Simba, Shomari Kapombe, amesema mipango yake ya kujiunga na Azam imekwama, akisubiri amalizane kwanza na AS Cannes ya Ufaransa. Kapombe ameamua kurejea nchini na kujiunga...

 

11 years ago

Mwananchi

Kapombe: Maslahi yamenirudisha nyumbani

Bado kuna ubishi mwingi kwa mashabiki wa soka kuhusu ubora wa mabeki wa pembeni wanaocheza Ligi Kuu Bara.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi Moro yanyukwa nyumbani

Polisi Moro SC imedondokea pua baada ya kukubali kukung’utwa bao 1-0 na Kurugenzi Mufindi FC ya Iringa katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri mkoani hapa juzi.

 

10 years ago

Bongo5

Juma Nature: Wanawake wengi waongo, bado nipo nipo sana

Juma Nature amesema tabia ya uongo kwa wanawake wengi inamfanya asifikirie kuoa awe mgumu kuoa. Nature ambaye ni baba wa mtoto mmoja aitwaye Furaha, ameiambia Bongo5 kuwa anashidwa kufanya uchaguzi sahihi wa mwanamke kutokana na wanawake kuwa matapeli. “Suala la kuoa ni suala la kitaifa, siku mimi nikioa hata rais atajua Juma Nature anaoa, nikiwa […]

 

10 years ago

GPL

JOHARI: BADO NIPO NIPO SANA

Na Imelda Mtema
MKONGWE kwenye kilinge cha sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amewataka mashabiki wake wajue kwamba, muda ukifika wa kupata mume wa kufunga naye ndoa, atafanya hivyo lakini kwa sasa anatoa kipaumbele kwenye kazi tu. Mkongwe kwenye kilinge cha sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akizungumza na Amani, Johari ambaye umri wake upo juu ya miaka 30, alisema watu wengi...

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

11 years ago

GPL

Kapombe wa Yanga

Shomari Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BAADA ya chenga za hapa na pale, kila kitu sasa kimewekwa hadharani kwamba beki wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe, ametaka mkataba wake na AS Cannes ya Ufaransa uvunjwe na imeelezwa anataka kubaki nchini na kujiunga na Yanga. Habari za uhakika kutoka ndani ya AS Cannes nchini Ufaransa na kuthibitishwa na wakala wake anayeishi nchini Uholanzi, zimeeleza Kapombe amefanya mazungumzo na Yanga...

 

11 years ago

Mwananchi

Samata amtetea Kapombe

Mshambuliaji wa TP Mazembe na Tanzania, Mbwana Samata  amesema watu wasiwe mahiri wa kuwalaumu wachezaji wanaorudi nchini kutoka nje ya nchi kwa majaribio kwani kuna mambo mengi magumu ambayo hayavumiliki.

 

11 years ago

GPL

Simba yasubiri mamilioni ya Kapombe

Shomari Kapombe. Na Nicodemus Jonas
KLABU ya Simba SC, imesema inasubiria mamilioni ya fedha kutoka kwa Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa kutokana na mauzo ya Shomari Kapombe kwa Azam FC. Simba ilimpeleka nyota huyo Ufaransa mwaka jana, kwa makubaliano maalum, kuwa iwapo timu hiyo itafanikiwa kumuuza nyota huyo ndani ya miaka mitatu, basi wataambulia asilimia 40 za mauzo hayo huku 40 nyingine zikiliwa na Cannes wakati 20...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani