Juma Nature: Wanawake wengi waongo, bado nipo nipo sana
Juma Nature amesema tabia ya uongo kwa wanawake wengi inamfanya asifikirie kuoa awe mgumu kuoa. Nature ambaye ni baba wa mtoto mmoja aitwaye Furaha, ameiambia Bongo5 kuwa anashidwa kufanya uchaguzi sahihi wa mwanamke kutokana na wanawake kuwa matapeli. “Suala la kuoa ni suala la kitaifa, siku mimi nikioa hata rais atajua Juma Nature anaoa, nikiwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*ALC-S-EV1MB0T1Qpa0TmeFViFB0cMXWZEvshKClwTAF-4aYyook7Lfxz0rLNYuXnxi4kIL*hGqp0RmBCpokFv9/johari.jpg?width=650)
JOHARI: BADO NIPO NIPO SANA
10 years ago
StarTV05 Dec
Mugabe: Bado nipo sana.
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amelaumu baadhi ya watu ndani ya chama chake tawala cha ZANU-PF kwamba wanapanga kumng’oa madarakani.
Akizungumza katika kongamano la chama hicho, Mugabe amesema amebaini kuwepo majaribio ya kuwahonga wajumbe kumpinga kama kiongozi, lakini akasisitiza wajumbe hawawezi kupokea hongo.
Mugabe ameahidi kupambana na rushwa ndani ya chama na kukabiliana na maafisa wa chama hicho ambao kazi yao ni kutoa hongo na kupokea rushwa.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/04/141204173006_congress_1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Kapombe: Bado nipo nipo kwanza
ALIYEKUWA beki wa timu ya Simba, Shomari Kapombe, amesema mipango yake ya kujiunga na Azam imekwama, akisubiri amalizane kwanza na AS Cannes ya Ufaransa. Kapombe ameamua kurejea nchini na kujiunga...
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Bado nipo kisanaa, siasa ilinificha kwenye uigizaji
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-dThJcDiGTO8/VWBxfuNsFXI/AAAAAAAABqM/4bKUFN_pVjo/s72-c/inauma%2Bsana%2Brmx.jpg)
10 years ago
Bongo527 May
New Music: Juma Nature Ft Msaga Sumu — Inaniuma Sana Remix
9 years ago
Bongo517 Dec
Juma Nature: Wakongwe wengi sasa hivi chali
![12142362_1532705577020779_1041655498_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12142362_1532705577020779_1041655498_n-300x194.jpg)
Juma Kassim aka Juma Nature, amedai wasanii wengi wakongwe wamepotezwa na mfumo wa muziki wa sasa.
Akizungumza na Siz Kitaa ya Clouds TV, Nature alisema wasanii wengi wameshindwa kuendelea kutokana na ngoma zao kutopata airtime ya kutosha.
“Wasanii wengi wamepotezwa, mtu analipia studio kwa gharama halafu anatoa ngoma haipigwi, atasikika vipi? Huu mfumo ndio umepoteza wasanii,” alisema Nature.
Muimbaji huyo alisema kama redio na TV vikitenda haki kwa kucheza nyimbo za wasanii wote bila...
10 years ago
CloudsFM21 Nov
WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO
Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.
Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...
9 years ago
Habarileo05 Jan
Wanawake wengi bado wajifungulia majumbani
LICHA ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoa huduma bure za afya kwa wajawazito, ni asilimia 12.4 tu ya wanawake wanajifungulia katika hospitali za serikali.