Juma Nature: Wakongwe wengi sasa hivi chali
Juma Kassim aka Juma Nature, amedai wasanii wengi wakongwe wamepotezwa na mfumo wa muziki wa sasa.
Akizungumza na Siz Kitaa ya Clouds TV, Nature alisema wasanii wengi wameshindwa kuendelea kutokana na ngoma zao kutopata airtime ya kutosha.
“Wasanii wengi wamepotezwa, mtu analipia studio kwa gharama halafu anatoa ngoma haipigwi, atasikika vipi? Huu mfumo ndio umepoteza wasanii,” alisema Nature.
Muimbaji huyo alisema kama redio na TV vikitenda haki kwa kucheza nyimbo za wasanii wote bila...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo529 Aug
Juma Nature: Wanawake wengi waongo, bado nipo nipo sana
10 years ago
CloudsFM21 Nov
WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO
Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...
10 years ago
Michuzi9 years ago
Mtanzania12 Nov
Juma Nature: Nitagombea ubunge 2020
NA FESTO POLEA
KIONGOZI wa kundi la Wanaume Halisi, Juma Kassim Nature, amesema matarajio yake ya kugombea ubunge yatatimia mwaka 2020 atakapogombea rasmi katika jimbo mojawapo nchini.
Nature aliwahi kutangaza nia ya kugombea ubunge kwa mwaka huu lakini hakutekeleza hilo badala yake akawa mpiga kampeni wa wasanii wenzake na viongozi mbalimbali waliokuwa wakigombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Mwaka huu nilikuwa najifunza mambo mengi kupitia viongozi waliokuwa wakigombea...
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Juma Nature awaasa waliotangaza nia
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Kampeni yawakutanisha Juma Nature, Rich One
NA MWANDISHI WETU
WASANII Juma Nature na Rich One waliowahi kuwika katika kundi la TMK Wanaume Halisi na kisha kutengana wamejikuta wakiimba pamoja katika kampeni za kumnadi mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini.
Juzi wasanii hao walipanda katika jukwaa la Uwanja wa Mashujaa mjini Moshi na kuimba pamoja nyimbo mbalimbali walizowahi kushiriki wakiwa katika kundi lao la pamoja huku mashabiki wao wengi...
11 years ago
GPL04 Aug
10 years ago
Michuzi19 Apr
JUMA NATURE - NAMUOA MPENZI WANGU WA ARUSHA AS SOON AS POSSIBLE
9 years ago
Bongo530 Nov
Music: Makomando Ft Juma Nature – Mama Wee
Kundi la mziki wa bongo fleva Makomando wameachia wimbo wao mpya unaitwa “Mama Wee”. wamemshirikisha mkongwe wa mziki huo Juma Nature. Studio Free Nation Music
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!