Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Juma Nature awaasa waliotangaza nia

Msanii Juma Nature, ametoa rai kwa wasanii waliotangaza nia kuwania viti mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao, akiwataka kusimama kwenye misingi ya kusaidia jamii badala na si vinginevyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO

Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Waliotangaza nia CCM kikaangoni

>Baadhi ya makada wa CCM ambao wataitwa mbele ya Kamati ya Maadili na Usalama ya chama hicho, wanakabiliwa na shtaka la kutoa rushwa kwa lengo la kushawishi kukubaliwa kwao, Mwananchi limebaini.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa wawaponda waliotangaza nia CCM

>Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wameponda tabia ya makada wa CCM wanaotangaza nia ya kugombea urais kufanya hafla zinazotumia fedha nyingi kwenye jambo dogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliotangaza nia CCM waguswa na kauli ya JK

Siku moja baada ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kudokeza kuwa atakayekuwa mgombea wake wa urais baadaye mwaka huu ni yule ambaye hajajitokeza mpaka sasa, makada wa chama hicho waliotangaza nia ya kugombea urais wamesema wana uwezo na sifa za kugombea nafasi hiyo, huku wasomi wakija na mtazamo tofauti.

 

10 years ago

Mwananchi

Waliotangaza nia ya urais wapewa neno

Wanasiasa waliotangaza nia ya kuwania urais nchini wameshauriwa kujitathmini kwamba ni kwa vipi watalifanyia Taifa na wananchi wake mambo mazuri.

 

11 years ago

Mwananchi

Siwaogopi waliotangaza nia kuwania urais-Karume

Mtoto wa pili wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Balozi Ali Abeid Karume amesema hawaogopi wanasiasa waliojitokeza na kutangaza nia ya kuwania urais wa Muungano kumrithi Rais Jakaya Kikwete atakapoondoka madarakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Maadili CCM yatakiwa kuwashughulikia waliotangaza nia

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeshauri Kamati ya Maadili ya CCM kuwaonyesha mlango wa kutokea wote walioanza kampeni za kugombea urais, ubunge na nyingine kinyume cha maadili ya chama.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

CCM ARUSHA YATOA ONYO KWA WALIOTANGAZA NIA ARUSHA MJINI

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Arusha,Feruz Bano (kushoto) akimkabidhi kitabu cha kanuni za uchaguzi wa CCM mgombea aliyetangaza nia ya kuwania ubunge katika jimbo la Arusha mjini,Kim Fute jana ofisini kwake mara alipofika kujitambulisha na kutangaza nia. mgombea aliyetangaza kuwania nafasi ya ubunge kupitia CCM katika jimbo la Arusha mjini,Kim Fute akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya katibu wa chama hicho wilayani Arusha jana alipofika kujitambulisha na kutangaza ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani