Ukawa wawaponda waliotangaza nia CCM
>Viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wameponda tabia ya makada wa CCM wanaotangaza nia ya kugombea urais kufanya hafla zinazotumia fedha nyingi kwenye jambo dogo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Waliotangaza nia CCM kikaangoni
>Baadhi ya makada wa CCM ambao wataitwa mbele ya Kamati ya Maadili na Usalama ya chama hicho, wanakabiliwa na shtaka la kutoa rushwa kwa lengo la kushawishi kukubaliwa kwao, Mwananchi limebaini.
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Waliotangaza nia CCM waguswa na kauli ya JK
Siku moja baada ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kudokeza kuwa atakayekuwa mgombea wake wa urais baadaye mwaka huu ni yule ambaye hajajitokeza mpaka sasa, makada wa chama hicho waliotangaza nia ya kugombea urais wamesema wana uwezo na sifa za kugombea nafasi hiyo, huku wasomi wakija na mtazamo tofauti.
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Kamati ya Maadili CCM yatakiwa kuwashughulikia waliotangaza nia
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeshauri Kamati ya Maadili ya CCM kuwaonyesha mlango wa kutokea wote walioanza kampeni za kugombea urais, ubunge na nyingine kinyume cha maadili ya chama.
10 years ago
Michuzi.jpg)
CCM ARUSHA YATOA ONYO KWA WALIOTANGAZA NIA ARUSHA MJINI
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Mwananchi13 Oct
Waliotangaza nia ya urais wapewa neno
Wanasiasa waliotangaza nia ya kuwania urais nchini wameshauriwa kujitathmini kwamba ni kwa vipi watalifanyia Taifa na wananchi wake mambo mazuri.
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Juma Nature awaasa waliotangaza nia
Msanii Juma Nature, ametoa rai kwa wasanii waliotangaza nia kuwania viti mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao, akiwataka kusimama kwenye misingi ya kusaidia jamii badala na si vinginevyo.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Siwaogopi waliotangaza nia kuwania urais-Karume
Mtoto wa pili wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Balozi Ali Abeid Karume amesema hawaogopi wanasiasa waliojitokeza na kutangaza nia ya kuwania urais wa Muungano kumrithi Rais Jakaya Kikwete atakapoondoka madarakani.
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Watangaza nia CCM wanatutengenezea njia- Ukawa
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umesema vita ya kurushiana maneno miongoni mwa makada wa CCM wanaotaka kugombea urais ni faraja kwao, kwani inawasafishia njia ya kuingia Ikulu .
11 years ago
Habarileo09 Jun
Bulembo: Ukawa hawana nia njema
MWENYEKITI wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo amewataka wananchi wa hapa kutounga mkono muundo wa serikali tatu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania