Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMA NATURE - NAMUOA MPENZI WANGU WA ARUSHA AS SOON AS POSSIBLE

Mkongwe kwenye Muzuki wa Kizazi Kipya Nchini Tanzania Juma Khassim Kiroboto Maarufu kama Juma Nature @Sir_Nature amesema Kuwa Siku za Karibuni Zijazo atamuoa Mpenzi wake Ambaye anatokea Arusha.Akifanya Mahojiano na @DjHaazu wa @MamboJamboRadio Arusha Tanzania, Juma Nature amesema kuwa amekaa bila Mke wa ndoa kwa kipindi Kirefu sana tangua aachane na alikuwa Mkewe ambaye Alibahatika Kuzaa Mtoto mmoja na yeye aitwaye FURAHA na kwa sasa anaamini ni Muda Muafaka wakufikia Hatua Nyingine ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO

Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Juma Nature awaasa waliotangaza nia

Msanii Juma Nature, ametoa rai kwa wasanii waliotangaza nia kuwania viti mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao, akiwataka kusimama kwenye misingi ya kusaidia jamii badala na si vinginevyo.

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Mtanzania

Kampeni yawakutanisha Juma Nature, Rich One

Rich & NatureNA MWANDISHI WETU

WASANII Juma Nature na Rich One waliowahi kuwika katika kundi la TMK Wanaume Halisi na kisha kutengana wamejikuta wakiimba pamoja katika kampeni za kumnadi mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini.

Juzi wasanii hao walipanda katika jukwaa la Uwanja wa Mashujaa mjini Moshi na kuimba pamoja nyimbo mbalimbali walizowahi kushiriki wakiwa katika kundi lao la pamoja huku mashabiki wao wengi...

 

9 years ago

Mtanzania

Juma Nature: Nitagombea ubunge 2020

maxresdefaultNA FESTO POLEA

KIONGOZI wa kundi la Wanaume Halisi, Juma Kassim Nature, amesema matarajio yake ya kugombea ubunge yatatimia mwaka 2020 atakapogombea rasmi katika jimbo mojawapo nchini.

Nature aliwahi kutangaza nia ya kugombea ubunge kwa mwaka huu lakini hakutekeleza hilo badala yake akawa mpiga kampeni wa wasanii wenzake na viongozi mbalimbali waliokuwa wakigombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Mwaka huu nilikuwa najifunza mambo mengi kupitia viongozi waliokuwa wakigombea...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Makomando Ft Juma Nature – Mama Wee

artist_2192fada18da1b8ca1d800a292ec4f759e8.png

Kundi la mziki wa bongo fleva Makomando wameachia wimbo wao mpya unaitwa “Mama Wee”. wamemshirikisha mkongwe wa mziki huo Juma Nature. Studio Free Nation Music

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo Movies

Nataka Niache Kula Monde-Juma Nature

Msanii mkongwe katika tasnia ya bongo fleva Juma Kassim Nature (Kiroboto) amefunguka na kusema ameachana na mambo mengi ya ajabu ajabu na starehe na kusema anataka kuachana na mambo hayo kwani uhuni ataki tena.

Juma Nature

Juma Nature

Juma Nature akipiga stori katika kipindi cha Planet Bongo ya EATV alisema ameweza kuachana na mambo mengi ambayo kwa jamii yanaonekana ni mambo ya kihuni lakini mpaka sasa bado hajafanikiwa kuacha monde (Pombe).

“Unajua kwa sasa nimeachana na mambo mengi yale ya kihuni...

 

9 years ago

Bongo5

Juma Nature: Kwenda international ndio nini?

Juma Nature amesema hana haraka ya kwenda kimataifa kwa kudai bado ana muda wa kutosha kwenda huko. Nature anadai kuwa bado anajichukulia kama msanii mchanga mwenye kipaji cha ajabu. “Hizo ni plan zangu baadaye sio sasa hivi,” Nature ameiambia Bongo5. “Mimi sifanyagi kitu kwa kuiga, kwa sababu mimi sio underground na nina jina la kutosha […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani