Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Logarusic amzuia Kapombe kurudi Simba

Shomari Salum Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BEKI wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe, amemtaja Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic kuwa sababu mojawapo ya kushindwa kurudi Simba kufanya mazoezi na badala yake kujiunga na Azam.
Kapombe alisajiliwa na AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne nchini Ufaransa, lakini alirejea nchini kuichezea timu ya taifa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe na kuanzia hapo amegoma kurudi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Mke amzuia Okwi kurudi Simba

Mshambuliaji wa Simba,Emmanuel Okwi. Na Mwandishi Wetu
KUMEKUWA na taarifa zinazotofautiana kuhusiana na kuchelewa kwa mshambuliaji Emmanuel Okwi aliye kwao Uganda, lakini ukweli sasa ni kwamba suala la ndoa, ndilo lililomchelewesha. Uchunguzi wa Championi Ijumaa kuhusiana na suala hilo umeanzia jijini Kampala, Uganda na ikabainika Okwi yuko katika mipango ya kutaka kufunga ndoa.Baada ya taarifa hizo, imekuwa vigumu kupata...

 

11 years ago

GPL

Wambura amzuia Hans Pope kusajili Simba

Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura. Na Wilbert Molandi
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope, amesema kwa sasa hataki kujihusisha na masuala ya usajili, badala yake ataelekeza nguvu zake katika biashara zake binafsi.
Mwenyekiti huyo ameitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati klabu mbalimbali zikiendelea na usajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na sababu kubwa ni...

 

11 years ago

GPL

Simba yasubiri mamilioni ya Kapombe

Shomari Kapombe. Na Nicodemus Jonas
KLABU ya Simba SC, imesema inasubiria mamilioni ya fedha kutoka kwa Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa kutokana na mauzo ya Shomari Kapombe kwa Azam FC. Simba ilimpeleka nyota huyo Ufaransa mwaka jana, kwa makubaliano maalum, kuwa iwapo timu hiyo itafanikiwa kumuuza nyota huyo ndani ya miaka mitatu, basi wataambulia asilimia 40 za mauzo hayo huku 40 nyingine zikiliwa na Cannes wakati 20...

 

11 years ago

GPL

Simba yampiga pini kapombe

Shomari Salum Kapombe. Na Mwandishi Wetu
TAARIFA za beki Shomari Kapombe kufanya mazungumzo na Yanga na Azam FC zimetibua mambo na Simba imeamua kuanika mkataba wake. Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa ambayo Kapombe anaichezea, ilisema imepata taarifa za mchezaji huyo kufanya mazungumzo na Yanga na Azam FC na wakala wake, Denis Kadito anayeishi nchini Uholanzi akalithibitisha hilo. Lakini uchunguzi wa Championi Jumatano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba wamtega Logarusic

KLABU ya Simba inasubiri taarifa rasmi ya kocha mpya, Zdravok Logarusic kuhusu mkakati wake wa kudhibiti nidhamu katika timu kwa kuwakata mshahara nyota wanaochelewa kwenye mazoezi. Hivi karibuni Logarusic alisema...

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic aitega Simba

Baada ya kuisaidia Simba kupata sare 1-1 na Yanga, Kocha  Zdavko Logarusic amesema hatima ya kuendelea kuifundisha timu hiyo itajulikana wiki hii.

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic kutimua wavivu Simba

Kocha wa Simba, Mcrotia Zdravko Logarusic ametamka kwamba hana kikosi cha kwanza na kuwataka wachezaji wa klabu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi kugombea namba kwani hatakuwa na huruma na mchezaji mvivu.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yamfuta kazi Logarusic

Ajira ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba Zdravko Logarusic imefikia tamati rasmi jana baada ya uongozi wa klabu hiyo kusitisha mkataba wake.

 

11 years ago

GPL

Logarusic: Simba haitaenda Mapinduzi

Kocha mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema kikosi chake hakitakwenda kushiriki michuano ya Mapinduzi visiwani Zanzibar, kama atakuwa bado yupo nacho. Logarusic, maarufu kama Loga, amesema ingawa michuano hiyo ina heshima kubwa lakini kwa hesabu ni migumu na inaiathiri timu. Akizungumza na gazeti hili, Loga alisema kwa kipindi cha mapumziko, timu kucheza hadi mechi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani