Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Logarusic: Simba haitaenda Mapinduzi

Kocha mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema kikosi chake hakitakwenda kushiriki michuano ya Mapinduzi visiwani Zanzibar, kama atakuwa bado yupo nacho. Logarusic, maarufu kama Loga, amesema ingawa michuano hiyo ina heshima kubwa lakini kwa hesabu ni migumu na inaiathiri timu. Akizungumza na gazeti hili, Loga alisema kwa kipindi cha mapumziko, timu kucheza hadi mechi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Logarusic: Kombe la Mapinduzi si ishu

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema kikosi chake kutwaa Kombe la Mapinduzi si ishu kubwa sana kwake. Logarusic ambaye ameungana na Simba akitokea kwao Croatia, amesema ataitumia michuano hiyo kama sehemu ya kuboresha kikosi hicho. “Tunacholenga sisi ni Ligi Kuu Bara. Michuano hii ni kama ya kirafiki, tunaweza kuchukua au kutochukua ubingwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba wamtega Logarusic

KLABU ya Simba inasubiri taarifa rasmi ya kocha mpya, Zdravok Logarusic kuhusu mkakati wake wa kudhibiti nidhamu katika timu kwa kuwakata mshahara nyota wanaochelewa kwenye mazoezi. Hivi karibuni Logarusic alisema...

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic aitega Simba

Baada ya kuisaidia Simba kupata sare 1-1 na Yanga, Kocha  Zdavko Logarusic amesema hatima ya kuendelea kuifundisha timu hiyo itajulikana wiki hii.

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic kutimua wavivu Simba

Kocha wa Simba, Mcrotia Zdravko Logarusic ametamka kwamba hana kikosi cha kwanza na kuwataka wachezaji wa klabu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi kugombea namba kwani hatakuwa na huruma na mchezaji mvivu.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yamfuta kazi Logarusic

Ajira ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba Zdravko Logarusic imefikia tamati rasmi jana baada ya uongozi wa klabu hiyo kusitisha mkataba wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Logarusic aisuka upya Simba

Licha ya  mwanzo wake mzuri  katika Ligi  Kuu Tanzania  Bara, kocha  wa Simba, Zdavko Logarusic ameamua kukisuka upya kikosi chake.

 

11 years ago

GPL

Logarusic amzuia Kapombe kurudi Simba

Shomari Salum Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BEKI wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe, amemtaja Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic kuwa sababu mojawapo ya kushindwa kurudi Simba kufanya mazoezi na badala yake kujiunga na Azam.
Kapombe alisajiliwa na AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne nchini Ufaransa, lakini alirejea nchini kuichezea timu ya taifa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe na kuanzia hapo amegoma kurudi...

 

11 years ago

GPL

Logarusic awapa mamilioni wachezaji wa Simba

Kocha wa Simba Zradvko Logarusic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA Zradvko Logarusic ameanzisha mfumo mpya wa kuwakata wachezaji fedha ambapo mwisho wa msimu utawaingizia wachezaji wake mamilioni ya fedha. Mamilioni hayo yatakayopatikana kupitia mfumo huo aliouanzisha yatatumiwa na wachezaji wake kununua vitu wanavyotaka.
Habari za uhakika kutoka ndani ya Simba zimeeleza kuwa, Logarusic amekuwa mkali na kila mchezaji anayefanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani