Logarusic aisuka upya Simba
Licha ya mwanzo wake mzuri katika Ligi Kuu Tanzania Bara, kocha wa Simba, Zdavko Logarusic ameamua kukisuka upya kikosi chake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Mwambusi aisuka upya Mbeya City
Kocha Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema tatizo kubwa kwa sasa katika kikosi chake ni safu ya ushambuliaji ambayo ameendelea kuisuka ili wafanye vyema Ligi Kuu Bara itakapoendelea.
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Logarusic aitega Simba
Baada ya kuisaidia Simba kupata sare 1-1 na Yanga, Kocha Zdavko Logarusic amesema hatima ya kuendelea kuifundisha timu hiyo itajulikana wiki hii.
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Simba wamtega Logarusic
KLABU ya Simba inasubiri taarifa rasmi ya kocha mpya, Zdravok Logarusic kuhusu mkakati wake wa kudhibiti nidhamu katika timu kwa kuwakata mshahara nyota wanaochelewa kwenye mazoezi. Hivi karibuni Logarusic alisema...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtqcsfvUVwLRLEWNAzY7foEHczIUYtvmCJri6r2sjbZhfjAwyPtLhlr7eb1XO10WVVBN9yvafhRe1aAJ7MPy5oy9/logaaaaaaaaaa.jpg?width=650)
Logarusic: Simba haitaenda Mapinduzi
Kocha mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema kikosi chake hakitakwenda kushiriki michuano ya Mapinduzi visiwani Zanzibar, kama atakuwa bado yupo nacho. Logarusic, maarufu kama Loga, amesema ingawa michuano hiyo ina heshima kubwa lakini kwa hesabu ni migumu na inaiathiri timu. Akizungumza na gazeti hili, Loga alisema kwa kipindi cha mapumziko, timu kucheza hadi mechi...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Simba yamfuta kazi Logarusic
Ajira ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba Zdravko Logarusic imefikia tamati rasmi jana baada ya uongozi wa klabu hiyo kusitisha mkataba wake.
11 years ago
Mwananchi31 Jul
Logarusic kutimua wavivu Simba
Kocha wa Simba, Mcrotia Zdravko Logarusic ametamka kwamba hana kikosi cha kwanza na kuwataka wachezaji wa klabu hiyo ya Wekundu wa Msimbazi kugombea namba kwani hatakuwa na huruma na mchezaji mvivu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HhC4s6J41IWGPHgjpYq5xKZQkEXCvonzg5bL9j2aLJtDAa860cKpfbYcWz4d5vsAEVdVBRZm60QAOJGjKiN0dQP/LOGA.jpg?width=650)
Logarusic amzuia Kapombe kurudi Simba
Shomari Salum Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BEKI wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe, amemtaja Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic kuwa sababu mojawapo ya kushindwa kurudi Simba kufanya mazoezi na badala yake kujiunga na Azam.
Kapombe alisajiliwa na AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne nchini Ufaransa, lakini alirejea nchini kuichezea timu ya taifa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe na kuanzia hapo amegoma kurudi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMmy6Hct5ROtVNZ*7jTS0V3QEeLkOsjoM4dOtkZgUlQXRBJUhv4W*QfLN*o8UuAaycGKWtFsMFXoQ25LM*44n5xM/loga.jpg?width=600)
Logarusic apewa mkataba feki Simba
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Sweetbert Lukonge
AKIWA amebakiza siku chache za kuendelea kuutumikia mkataba wa kuifundisha Simba, kocha wa timu hiyo, Zdravko Logarusic ameweka wazi kuwa hajasaini mkataba wowote na klabu hiyo. Loga raia wa Croatia ameweka wazi kuwa hana mkataba wa ziada wa kuendelea kuifundisha Simba, bali uliopo sasa ni ule unaoisha mwisho wa msimu huu na kusisitiza kuwa wanaosema ameongeza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania