Wambura amzuia Hans Pope kusajili Simba
![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9Ygg2DSoOYTaOiwo7yHmr6x4P59lEUjkhS9oZCZs8-on0rFCCTO0c83n763eM6xnWqMtiU5kbvO-2bgIyoIk4esA/Untitled1.gif?width=650)
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura. Na Wilbert Molandi MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope, amesema kwa sasa hataki kujihusisha na masuala ya usajili, badala yake ataelekeza nguvu zake katika biashara zake binafsi. Mwenyekiti huyo ameitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati klabu mbalimbali zikiendelea na usajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na sababu kubwa ni...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0siS8-FppAo20Dtyf9qv1MgN5iVstc9nb2ug7PhPlBrrwh7RltWTITIpGl4dWC*gE2kwKWirshAH2H21dkl8kndDX9*yzqR/HANSPOPE.gif?width=650)
Hans Pope azuia mkataba wa Loga Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632p*TJEcjGbn2h*Xl5wRX7VGZAyHLMfymQQc*LC8fNEIY8Uh8W0s5GrHCJMTA-k32VYA9dsBcDkNVRxkmjZa4*1H/aveva.gif?width=650)
Aveva, Kaburu wamsimamisha Hans Pope Simba
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vL9_0PU-o28/VJcQaXa2jwI/AAAAAAAG44Q/pv7iYZhH3Q8/s72-c/1.jpg)
Hans Pope: Simba Ukawa futeni kesi mahakamani!
![](http://1.bp.blogspot.com/-vL9_0PU-o28/VJcQaXa2jwI/AAAAAAAG44Q/pv7iYZhH3Q8/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-8LzmJQr2Wbw/VJcQaIwsI8I/AAAAAAAG44M/bJYB-T6vILk/s1600/download%2B(1).jpg)
MWENYEKITI wa kamati ya usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope amewataka Simba ukawa kufuta kesi iliyopo mahakamani ili wawarejeshee uwanachama wao. Pope alisema leo kuwa hawana ugomvi na Ukawa, na kwamba uongozi uliopo madarakani upo tayari kuwarudisha Ukawa na kuwa kitu kimoja kwa maslahi ya kuijenga Simba. "Ukawa ni matawi mawili ya Mpira Pesa na Mpira maendeleo, nimeshakutana na mpira pesa nikazungumza nao, nimewashauri wawasiliane na wenzao wakafute kesi ili tuungane na tuwe kitu kimoja...
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Madega, Hans Pope wakomaa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3z0ObFNVmwSeMJI9C-*2jwuWqBoMyjKVabhwFURfac0YMrrF80LSVuH3sjojniv50MCjj8kMUuzjqtLkkw2cRJK/mkude.gif)
Mke amzuia Okwi kurudi Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HhC4s6J41IWGPHgjpYq5xKZQkEXCvonzg5bL9j2aLJtDAa860cKpfbYcWz4d5vsAEVdVBRZm60QAOJGjKiN0dQP/LOGA.jpg?width=650)
Logarusic amzuia Kapombe kurudi Simba
9 years ago
Habarileo04 Nov
Simba kusajili watano
KOCHA Mkuu wa Simba Dylan Kerr, amesema amependekeza kwa uongozi kusajili wachezaji watano wapya kwenye dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake ili kiweze kuhimili ushindani wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
10 years ago
BBCSwahili14 May
Simba kusajili wachezaji kuziba pengo
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Wambura yametimia Simba
MICHAEL Richard Wambura aliyekuwa anawania nafasi ya uenyekiti katika klabu ya Simba kupitia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Juni 29, jijini Dar es Salaam, amechujwa katika mbio hizo kwa kutokuwa mwanachama....