Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yampiga pini kapombe

Shomari Salum Kapombe. Na Mwandishi Wetu
TAARIFA za beki Shomari Kapombe kufanya mazungumzo na Yanga na Azam FC zimetibua mambo na Simba imeamua kuanika mkataba wake. Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa ambayo Kapombe anaichezea, ilisema imepata taarifa za mchezaji huyo kufanya mazungumzo na Yanga na Azam FC na wakala wake, Denis Kadito anayeishi nchini Uholanzi akalithibitisha hilo. Lakini uchunguzi wa Championi Jumatano...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Simba yasubiri mamilioni ya Kapombe

Shomari Kapombe. Na Nicodemus Jonas
KLABU ya Simba SC, imesema inasubiria mamilioni ya fedha kutoka kwa Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa kutokana na mauzo ya Shomari Kapombe kwa Azam FC. Simba ilimpeleka nyota huyo Ufaransa mwaka jana, kwa makubaliano maalum, kuwa iwapo timu hiyo itafanikiwa kumuuza nyota huyo ndani ya miaka mitatu, basi wataambulia asilimia 40 za mauzo hayo huku 40 nyingine zikiliwa na Cannes wakati 20...

 

11 years ago

GPL

Logarusic amzuia Kapombe kurudi Simba

Shomari Salum Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BEKI wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe, amemtaja Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic kuwa sababu mojawapo ya kushindwa kurudi Simba kufanya mazoezi na badala yake kujiunga na Azam.
Kapombe alisajiliwa na AS Cannes inayoshiriki Ligi Daraja la Nne nchini Ufaransa, lakini alirejea nchini kuichezea timu ya taifa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe na kuanzia hapo amegoma kurudi...

 

9 years ago

Mtanzania

Justin Beiber: Pini zake zamrudisha Selena

justin-bieber-and-selena-gomezHAKUNA uhusiano ambao ulipendeza kwa watu maarufu hasa kwenye tasnia ya muziki nchini Marekani kama ilivyo kwa Chris Brown na aliyekuwa mpenzi wake Rihanna.

Uhusiano wao ulipendeza kutokana na wawili hao kuwa na umri mdogo huku wakifanya vizuri katika muziki, walianza kuwa katika uhusiano mwaka 2007 ambapo Chris aliachia wimbo wake ambao ulijulikan kwa jina la ‘With You’ Baada ya Chris kuachia wimbo huo, Rihanna alikuwa hana jinsi kwa kuwa ulimgusa sana na kushindwa kuzuia hisia zake na...

 

11 years ago

GPL

Kapombe wa Yanga

Shomari Kapombe. Na Mwandishi Wetu
BAADA ya chenga za hapa na pale, kila kitu sasa kimewekwa hadharani kwamba beki wa zamani wa Simba, Shomari Kapombe, ametaka mkataba wake na AS Cannes ya Ufaransa uvunjwe na imeelezwa anataka kubaki nchini na kujiunga na Yanga. Habari za uhakika kutoka ndani ya AS Cannes nchini Ufaransa na kuthibitishwa na wakala wake anayeishi nchini Uholanzi, zimeeleza Kapombe amefanya mazungumzo na Yanga...

 

11 years ago

Mwananchi

Samata amtetea Kapombe

Mshambuliaji wa TP Mazembe na Tanzania, Mbwana Samata  amesema watu wasiwe mahiri wa kuwalaumu wachezaji wanaorudi nchini kutoka nje ya nchi kwa majaribio kwani kuna mambo mengi magumu ambayo hayavumiliki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPB yampiga jeki Mwakyembe

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harisson Mwakyembe, amepokea hundi ya sh milioni tano kutoka Benki ya Posta Tanzania (TPB) kwa lengo la kuwasaidia wananchi wa Wilaya ya Kyela walioathirika na mafuriko...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yampiga ‘Stop’ Msangi

Serikali imesimamisha maandalizi na pambano la ngumi za kulipwa yanayoandaliwa na promota Jay Msangi kutokana na kasoro mbalimbali zilizotokea katika pambano la kwanza lililofanyika mwaka jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Kapombe: Maslahi yamenirudisha nyumbani

Bado kuna ubishi mwingi kwa mashabiki wa soka kuhusu ubora wa mabeki wa pembeni wanaocheza Ligi Kuu Bara.

 

11 years ago

Mwananchi

Msola: Kapombe hajakosea Azam

Baada ya kuwapo kwa taarifa za uhakika za  beki Shomari Kapombe kujiunga Azam FC, kocha wa zamani wa Taifa Stars ametetea uamuzi wa mchezaji huyo kuwa amefanya uamuzi sahihi na muda mwafaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani