Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPB yampiga jeki Mwakyembe

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harisson Mwakyembe, amepokea hundi ya sh milioni tano kutoka Benki ya Posta Tanzania (TPB) kwa lengo la kuwasaidia wananchi wa Wilaya ya Kyela walioathirika na mafuriko...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

TPB yawapiga jeki Kyela


NA MWANDISHI WETU
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amepokea hundi ya sh. milioni 5 kutoka Benki ya Posta Tanzania (TPB) kwa lengo la kuwasaidia wananchi wa Kyela walioathirika na mafuriko ya mvua za masika.
Mvua hizo zilitokea mwanzoni mwa mwaka huu na kusababisha madhara makubwa kwa wananchi na miundombinu.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika Makao Makuu ya TPB, ambapo Dk. Mwakyembe, ambaye pia ni Mbunge wa Kyela, alishukuru kwa mchango huo na kueleza kuwa utatumika kama...

 

11 years ago

GPL

Simba yampiga pini kapombe

Shomari Salum Kapombe. Na Mwandishi Wetu
TAARIFA za beki Shomari Kapombe kufanya mazungumzo na Yanga na Azam FC zimetibua mambo na Simba imeamua kuanika mkataba wake. Klabu ya AS Cannes ya Ufaransa ambayo Kapombe anaichezea, ilisema imepata taarifa za mchezaji huyo kufanya mazungumzo na Yanga na Azam FC na wakala wake, Denis Kadito anayeishi nchini Uholanzi akalithibitisha hilo. Lakini uchunguzi wa Championi Jumatano...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yampiga ‘Stop’ Msangi

Serikali imesimamisha maandalizi na pambano la ngumi za kulipwa yanayoandaliwa na promota Jay Msangi kutokana na kasoro mbalimbali zilizotokea katika pambano la kwanza lililofanyika mwaka jana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uefa yampiga marufuku Pellegrini

Kocha Manuel Pellegrini amepigwa marufuku mechi 2 na UEFA asisogelee eneo la kiufundi la uwanja

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yampiga kalamu kocha wake

Mkufunzi Mart Nooij amepigwa kalamu kama kocha wa timu ya taifa ya soka nchini Tanzania baada ya timu hiyo kushindwa 3-0 na Uganda nyumbani katika mechi ya awamu ya kwanza ya kufuzu kwa michuano ya CHAN.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria yampiga kalamu mkufunzi Keshi

Stephen Keshi amepigwa kalamu kama kocha wa timu ya Nigeria The Super Eagles na nafasi yake kuchukuliwa na Shaibu Amodu kulingana na shirikisho la soka nchini Nigeria NFF.

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA yampiga marufuku Chuck Blazer

Fifa imempiga marufuku mwanachama wake wa zamani Chuck Blazer kutoshiriki katika maswala yoyote yanayohusiana na kandanda.

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA yampiga marufuku Kiungo wa Nigeria

Mchezaji wa timu ya wanawake ya Nigeria Ugo Njoku amepigwa marufuku ya mechi tatu na kamati ya nidhamu ya FIFA.

 

9 years ago

BBCSwahili

FIFA yampiga marufuku Jack Warner

Aliyekuwa afisa mkuu wa shirikisho la kandanda Duniani, FIFA, Jack Warner, amepigwa marufuku kushiriki shughuli zo zote za kandanda maishani mwake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani