Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FIFA yampiga marufuku Kiungo wa Nigeria

Mchezaji wa timu ya wanawake ya Nigeria Ugo Njoku amepigwa marufuku ya mechi tatu na kamati ya nidhamu ya FIFA.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

FIFA yampiga marufuku Chuck Blazer

Fifa imempiga marufuku mwanachama wake wa zamani Chuck Blazer kutoshiriki katika maswala yoyote yanayohusiana na kandanda.

 

9 years ago

BBCSwahili

FIFA yampiga marufuku Jack Warner

Aliyekuwa afisa mkuu wa shirikisho la kandanda Duniani, FIFA, Jack Warner, amepigwa marufuku kushiriki shughuli zo zote za kandanda maishani mwake.

 

9 years ago

BBCSwahili

FIFA yampiga marufuku miaka 10 afisa wa Nepal

Mmoja wa maafisa wenye ushawishi mkubwa zaidi katika soka ya bara Asia amepigwa marufuku na FIFA ya miaka kumi kwa tuhuma za ufisadi.

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA yampiga marufuku afisa kwa miaka 7

Afisa wa FIFA aliyesimamia jopo la kutathmini uwenyeji wa kombe la dunia la mwaka wa 2018 na 2022 amepigwa marufuku ya miaka 7

 

10 years ago

BBCSwahili

FIFA:Nigeria yakabiliwa na marufuku

Nigeria inakabiliwa na marufuku ambayo huenda ikaitupa nje kushiriki katika michuano ya taifa bora barani afrika mwaka ujao.

 

11 years ago

BBCSwahili

FIFA imeipiga marufuku Nigeria

FIFA imeipiga marufuku Nigeria kwa muingilio wa serikali

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria yaponea marufuku ya FIFA

Fifa imethibitisha kuwa Nigeria imefanikiwa kukwepa kupigwa marufuku kutoka kwa soka ya kimataifa.

 

11 years ago

BBCSwahili

FIFA yaondoa marufuku dhidi ya Nigeria

Shirikisho la soka duniani FIFA limendoa marufuku lililoiwekea Nigeria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani