Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yampiga kalamu kocha wake

Mkufunzi Mart Nooij amepigwa kalamu kama kocha wa timu ya taifa ya soka nchini Tanzania baada ya timu hiyo kushindwa 3-0 na Uganda nyumbani katika mechi ya awamu ya kwanza ya kufuzu kwa michuano ya CHAN.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Crystal Palace yampiga kalamu kocha wake

Neil Warnock amekuwa meneja wa kwanza wa ligi ya Uingereza kupigwa kalamu msimu huu baada ya kufutwa kazi na Crystal Palace.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria yampiga kalamu mkufunzi Keshi

Stephen Keshi amepigwa kalamu kama kocha wa timu ya Nigeria The Super Eagles na nafasi yake kuchukuliwa na Shaibu Amodu kulingana na shirikisho la soka nchini Nigeria NFF.

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA YAMTIMUA KOCHA WAKE

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana jioni wakati akitoa taarifa ya kumfuta kazi kocha aliyekuwa akiinoa timu hiyo,Zdravko Logarusic 'Loga' (hayupo pichani). Wengine pichani ni Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba, Collin Frisch na Saidi Tully. Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Klabu ya Simba, Collin Frisch (kulia), akimsindikiza kwenda kupanda gari kocha wa timu hiyo Zdravko Logarusic...

 

10 years ago

Habarileo

Kocha Kerr ‘alia’ na washambuliaji wake

PAMOJA na kupata ushindi kwenye mechi zote za kirafiki ilizocheza mjini hapa, kocha Mkuu wa Simba, Dlyan Kerr ameendelea ‘kulia’ na safu yake ya ushambuliaji kukosa mabao mengi.

 

10 years ago

Michuzi

Azam yamfungashia virago kocha wake

SIKU mbili  baada ya kufungashiwa virago vyao kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika, uongzi wa Azam umefumua benchi lake la ufundi na kumtupia virago kocha wao Joseph Omong.
Katika taarifa ya uongozi huo waliyotoa jioni jioni hii,uongozi huo haujatoa sababu yoyote  ya kuachana na Omong ambaye wamekuwa nae kwa miezi 14.
Hata hivyo habari ambazo Globu ya Jamii imezipata zinasema kuwa uongozi wa Azam umeamua kumtupia virago Omong kutokana na kufanya vibaya kwenye michuano ya Klabu bingwa Afrika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Aston Villa yamtimua Kocha wake

Aston Villa imemtimua Kocha wake Paul Lambert baada ya kushindwa kufanya vizuri kwenye michuano ya Ligi kuu England

 

11 years ago

BBCSwahili

TFF yasitisha mkataba wa kocha wake

Shirikisho la Kabumbu nchini Tanzania TFF limetangaza kuvunja mkataba wake na Kocha mkuu wa Timu ya taifa ya soka

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha wa Azam FC awashukia wachezaji wake

Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog, ametamka kwamba baadhi ya wachezaji wake hawakufuata maelekezo katika zoezi la upigaji wa penalti ambazo ziliwaondoa mashindanoni, huku mshambuliaji wake Kipre Tchetche akikataa kupiga penalti hizo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mo Farah ataka majibu kuhusu kocha wake

Mwanariadha Mo Farah wa Uingereza amekasirishwa na hatua ya kulitia jina lake katika matope na sasa anataka majibu kufuatia madai yanayomuhusisha kocha wake Alberto Salazar na dawa za kusisimua misuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani