Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha wa Azam FC awashukia wachezaji wake

Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog, ametamka kwamba baadhi ya wachezaji wake hawakufuata maelekezo katika zoezi la upigaji wa penalti ambazo ziliwaondoa mashindanoni, huku mshambuliaji wake Kipre Tchetche akikataa kupiga penalti hizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Kocha Marekani asifia uwezo wachezaji wake

Kocha wa timu ya taifa ya Marekani, Jurgen Klinsmann amekipongeza kikosi chake licha ya kutolewa katika hatua ya mtoano ya timu 16 za Kombe la Dunia dhidi ya Ubelgiji, akisema wana nafasi ya kufanya makubwa katika siku zijazo.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Twiga Stars afurahia kiwango cha wachezaji wake

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amesema mchezo wa kirafiki dhidi ya Kenya ‘Harambee Starlets’ umemsaidia kugundua makosa ambayo atayafanyia kazi.

 

10 years ago

GPL

USAJILI: AZAM YAWARUHUSU WACHEZAJI WAKE WALIOMALIZA MIKATABA

Amri Kiemba. Gaudence Mwaikimba (kushoto) ambaye ni mmoja wa wachezaji walioruhusiwa kutafuta timu. Azam FC imewaruhusu wachezaji wake watatu waliomaliza mikataba yao kutafuta timu nyingine. Wachezaji hao ni Gaudence Mwaikimba, Amri Kiemba (mkopo toka Simba) na Wandwi Jackson Pia klabu imerefusha mikataba ya wachezaji waliokuwa wakikaribia kumaliza mikataba yao. Wachezaji hao ni Said Morad, Erasto Nyoni, Dedier Kavumbagu,...

 

10 years ago

Michuzi

Azam yamfungashia virago kocha wake

SIKU mbili  baada ya kufungashiwa virago vyao kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika, uongzi wa Azam umefumua benchi lake la ufundi na kumtupia virago kocha wao Joseph Omong.
Katika taarifa ya uongozi huo waliyotoa jioni jioni hii,uongozi huo haujatoa sababu yoyote  ya kuachana na Omong ambaye wamekuwa nae kwa miezi 14.
Hata hivyo habari ambazo Globu ya Jamii imezipata zinasema kuwa uongozi wa Azam umeamua kumtupia virago Omong kutokana na kufanya vibaya kwenye michuano ya Klabu bingwa Afrika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha akerwa na mapambo ya wachezaji

Kwa miaka ya hivi karibuni baadhi ya wachezaji wa soka Afrika Mashariki wameiga mitindo ya wachezaji wa ligi za ulaya kama vile kupaka nywele zao rangi na wengine nao wakivalia vipuli.

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU Awashukia Baadhi ya “followers” Wake Wanaomdisi!!!

Mrembo na mwigizaji  Elizabeth Michael aka Lulu, mwenye “followers” zaidi ya laki tatu kwenye mtandao wa INSTAGRAM, leo ameibuka na kuwapa makavu baadhi ya followers wake ambao wamekuwa waki-mdis  eti aweki vitu vya maana….Lulu awambia…

“Pipo always have smthng to complain.....Sasa MTU Na akili yake timamu anakuja ku comment on my post ohhhh Weka vitu vya maana kweli!?nwei kwasababu SIKO ktk harakati za kubishana au kugombana nitatoa ushauri tu.....
1.hiyo button Ya Ku follow Cdhani kama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha mashakani kwa kuwabagua wachezaji

Kocha wa klabu moja ya kandanda nchini Ufaransa anakabiliwa na shutuma kali kufuatia matamshi yake ya ubaguzi

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji Coastal Union wamkuna Kocha Chipo

KOCHA wa timu ya Coastal Union ya Tanga, Yusuf Chipo amesema ameridhika na kiwango cha vijana wake baada ya kuwafunga Shaba FC ya Pemba mabao 5-1 katika mechi ya kirafiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani