Azam yamfungashia virago kocha wake
![](http://1.bp.blogspot.com/-VwiSJLEXcZo/VPSOyncsdDI/AAAAAAAHHKk/cZja3Bv-OmY/s72-c/azam3.jpg)
SIKU mbili baada ya kufungashiwa virago vyao kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika, uongzi wa Azam umefumua benchi lake la ufundi na kumtupia virago kocha wao Joseph Omong.
Katika taarifa ya uongozi huo waliyotoa jioni jioni hii,uongozi huo haujatoa sababu yoyote ya kuachana na Omong ambaye wamekuwa nae kwa miezi 14.
Hata hivyo habari ambazo Globu ya Jamii imezipata zinasema kuwa uongozi wa Azam umeamua kumtupia virago Omong kutokana na kufanya vibaya kwenye michuano ya Klabu bingwa Afrika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Kocha wa Azam FC awashukia wachezaji wake
10 years ago
Mwananchi03 Mar
Azam yamtupia virago Omog
9 years ago
Habarileo20 Aug
Azam yaachana na kocha
ZIKIWA zimesalia takriban siku mbili kabla ya mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga, Azam imeachana na kocha msaidizi George Nsimbe baada ya kufikia makubaliano. Akizungumza jijini jana, Ofisa habari wa Azam FC, Jafar Iddi alithibitisha kuondoka kwa Nsimbe na kusema nafasi yake imechukuliwa na Romano aliyekuwa timu B.
9 years ago
Habarileo19 Oct
Kocha Azam alia na waamuzi
KOCHA wa Azam FC, Stewart Hall amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuwa makini na waamuzi akidai wanaharibu mechi za Ligi Kuu kwa kuzipendelea baadhi ya timu. Hall aliyasema hayo baada ya mchezo dhidi ya Yanga juzi uliomalizika kwa sare ya 1-1.
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Kocha aipa nafasi Azam
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Kocha wa Azam aenda likizo
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Kocha Azam aipania Ndanda
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Azam, Stewart Hall, amesema atahakikisha kikosi chake kinapata ushindi dhidi ya Ndanda ya Mtwara kesho baada ya kuambulia pointi moja dhidi ya Yanga Jumamosi iliyopita.
Hall aliyepania kushinda mechi kumi za kwanza za Ligi Kuu, amesema mechi dhidi ya Yanga imevuruga hesabu zake, lakini ameyafanyia kazi makosa yaliyowagharimu ili kuendeleza wimbi la ushindi.
Azam ambayo msimu uliopita ilifungwa bao 1-0 na timu hiyo kwenye Uwanja wa Nangwanda...
9 years ago
Habarileo15 Dec
Sare na Simba yamshtua Kocha Azam
KOCHA wa Azam FC, Stewart Hall amesema atahakikisha anafanyia kazi safu ya ulinzi ili makosa yaliyojitokeza katika mechi dhidi ya Simba yasijirudie mchezo ujao. Vinara hao wa Ligi Kuu walilazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambapo matokeo hayo yaliendelea kuwabakiza kileleni wakiwa na pointi 26.
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Kocha Liewig apata kibarua Azam