Kocha Azam alia na waamuzi
KOCHA wa Azam FC, Stewart Hall amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuwa makini na waamuzi akidai wanaharibu mechi za Ligi Kuu kwa kuzipendelea baadhi ya timu. Hall aliyasema hayo baada ya mchezo dhidi ya Yanga juzi uliomalizika kwa sare ya 1-1.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru NewspaperKocha Newcastle alia na kiwango
KOCHA Mkuu wa Newcastle John Carver, amesema amesikitishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu England.Katika mchezo huo, Newcastle ilipokea kipigo cha mabao 2-1, dhidi ya QPR.Akizungumza mara baada ya mchezo huo, Carver alisema timu ilipoteza mchezo huo baada ya kucheza chini ya kiwango.Carver alisema timu yake ingeweza kushinda lakini safu ya ulinzi ilimuangusha baada ya kukosa umakini na kuruhusu wapinzani wao kupenya na kupata mabao."Timu yangu ilicheza...
10 years ago
Habarileo05 Aug
Kocha Kerr ‘alia’ na washambuliaji wake
PAMOJA na kupata ushindi kwenye mechi zote za kirafiki ilizocheza mjini hapa, kocha Mkuu wa Simba, Dlyan Kerr ameendelea ‘kulia’ na safu yake ya ushambuliaji kukosa mabao mengi.
9 years ago
Habarileo19 Aug
Mkwasa alia na Yanga, Azam FC
KUSHINDWA kuwepo kambini kwa wachezaji wa Yanga na Azam FC kumeharibu ratiba ya maandalizi ya timu ya taifa, Taifa Stars, inayojiandaa kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Nigeria.
9 years ago
Habarileo20 Aug
Azam yaachana na kocha
ZIKIWA zimesalia takriban siku mbili kabla ya mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga, Azam imeachana na kocha msaidizi George Nsimbe baada ya kufikia makubaliano. Akizungumza jijini jana, Ofisa habari wa Azam FC, Jafar Iddi alithibitisha kuondoka kwa Nsimbe na kusema nafasi yake imechukuliwa na Romano aliyekuwa timu B.
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Kocha Azam aipania Ndanda
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Azam, Stewart Hall, amesema atahakikisha kikosi chake kinapata ushindi dhidi ya Ndanda ya Mtwara kesho baada ya kuambulia pointi moja dhidi ya Yanga Jumamosi iliyopita.
Hall aliyepania kushinda mechi kumi za kwanza za Ligi Kuu, amesema mechi dhidi ya Yanga imevuruga hesabu zake, lakini ameyafanyia kazi makosa yaliyowagharimu ili kuendeleza wimbi la ushindi.
Azam ambayo msimu uliopita ilifungwa bao 1-0 na timu hiyo kwenye Uwanja wa Nangwanda...
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Kocha aipa nafasi Azam
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Kocha wa Azam aenda likizo
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Kocha Simba aiga mbinu za Azam