Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Simba aiga mbinu za Azam

Mafanikio ambayo klabu ya Azam imeyapata kwenye mashindano ya Kombe la Kagame mwezi uliopita kwa kucheza mechi sita bila kuruhusu bao, yameishawishi Simba kuiga mfumo huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Sare na Simba yamshtua Kocha Azam

KOCHA wa Azam FC, Stewart Hall amesema atahakikisha anafanyia kazi safu ya ulinzi ili makosa yaliyojitokeza katika mechi dhidi ya Simba yasijirudie mchezo ujao. Vinara hao wa Ligi Kuu walilazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambapo matokeo hayo yaliendelea kuwabakiza kileleni wakiwa na pointi 26.

 

11 years ago

GPL

Kocha Simba aipigia dua mechi ya Yanga na Azam FC

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Hans Mloli
KILA shabiki anaitakia ushindi timu yake kwenye mtanange wa Yanga dhidi ya Azam leo, lakini Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema anaomba mechi hiyo iishe kwa sare. Loga ambaye timu yake inashika nafasi ya nne ikiwa na pointi 36, anaamini sare tu ndiyo inaweza kuipa ahueni ya kutwaa ubingwa msimu huu. Akifafanua kauli yake hiyo, alisema kwamba timu hizo zikitoka...

 

11 years ago

GPL

Kocha raia wa Uingereza aipa Yanga mbinu za kuing’oa Al Ahly

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall. Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Azam, Stewart Hall, raia wa Uingereza, ameibuka na kuielekeza Yanga cha kufanya kama kweli inataka kuiondoa Al Ahly ya Misri kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Yanga inatarajiwa kuumana na mabingwa hao watetezi kwenye mchezo wa hatua ya pili ya michuano hiyo baada ya kuifunga Komorozine ya Comoro kwa jumla ya...

 

10 years ago

GPL

Kopunovic kutumia mbinu za Barcelona kuiua Azam FC

Kocha Mkuu wa Simba, Mserbia, Goran Kopunovic. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Simba, Mserbia, Goran Kopunovic, hatalinda goli lake wakati atakapowavaa wapinzani wake, Azam FC na badala yake atatumia mfumo wa kushambulia mwanzo mwisho.Aina hiyo ya uchezaji, inatumiwa sana na klabu ya Barcelona kwa kushambulia na kupiga pasi nyingi kati ya dimba, inayojulikana kwa jina la ‘Tik Taka’. Akizungumza na Championi...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yaanza na mbinu mpya

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri ameanza kujaribu kupanga kikosi kwa kuangalia nafasi ya mchezaji mmoja mmoja, huku akisema anaangalia ‘kombinesheni’ ya kila nafasi.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yaibua mbinu ya kuaga umaskini

Klabu ya soka ya Simba imeibuka na ubunifu mpya wenye lengo la kuiwezesha kupata mapato zaidi, kuwapa thamani wachezaji kulingana na mchango wao kwenye klabu.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba waja na mbinu tofauti

Wakati Yanga wakiwapa mapumziko ya siku 10 nyota wake kabla ya kurejea kuanza maandalizi rasmi ya mechi ya ‘Nani Mtani Jembe 2’, wapinzani wao, Simba, wamewapa mapumziko ya siku 14 huku wakitamba kikosi chao kuwa ‘fiti’ tayari kwa mchezo huo.

 

9 years ago

Habarileo

Azam yaachana na kocha

ZIKIWA zimesalia takriban siku mbili kabla ya mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga, Azam imeachana na kocha msaidizi George Nsimbe baada ya kufikia makubaliano. Akizungumza jijini jana, Ofisa habari wa Azam FC, Jafar Iddi alithibitisha kuondoka kwa Nsimbe na kusema nafasi yake imechukuliwa na Romano aliyekuwa timu B.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha aipa nafasi Azam

Kocha wa klabu ya TP Mazembe, Carteron Patrice amesema kama Azam itaendelea na kasi iliyoionyesha katika mchezo wao wa juzi, wataiondosha El -Merrikh ya Sudan katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani